DOKEZO Kuna wizi unafanyika kwenye mifumo ya control number, sijui nani atachunguza labda Rais kuagiza watu wa usalama wa Taifa wachunguze

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huu usenge wa kulaumu Rais kwenye kila KITU tumeshauchoka SASA tumechoka tumechoka tumechoka, wewe itakua hata ukishakunya utataka Rais akuchambe na ikiwa kwamba Mavi umekunya mwenyewe unaanza kulialia unataka Rais akuchambe kwani wewe hauna Mikoni ya kujichamba umekatwa Mikono wewe?
🙄🙄🤔
 
Akina Madilu System wanajigamba serikali imedhibiti wizi kwa sasa ndiyo maana miradi inasonga.😁

Nilishangaa, inakuwaje vijana wa PSSSF wanatapeli kwa kuwapa wastaafu control number walipie michango ambayo mwajiri hakupeleka!

Si ni rahisi kuwa traced? Kumbe hizo Namba za malipo wanabumba tu wenyewe gizani wala hazitambuliki popote!
 
Kuhusu hoja ya kulazimishwa kulipa kiasi chote badala ya nusu kama ulivyojipanga, hii ni ishu ya anayetengeneza hiyo control number.... anaseti ilipwe full au partial.

Hiyo uliyolipia benki ulipigwa.
 
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi moja.

Nitatoa mfano;
Nilikuwa nadaiwa pesa yapata laki nne nikapewa control number. Hata hivyo nilitaka kuzilipa kwa awamu mbili, lakini mfumo ulinilazimisha nilipe pesa yote kwa wakati mmoja.

Siku nyingine nilitakiwa kulipa laki na elfu sitini, hata hivyo kwa haraka zangu nilijikuta nimelipa online kupitia benki kiasi cha laki moja na nusu. Nikasubiri majibu kuwa nimelipa, lakini haikunipa majibu yoyote. Nikaenda benki wakaniambia pesa imekatwa na kulipa hiyo pesa lakini control number bado inaonekana haijapokea malipo.

Kwa vile ilikuwa na deadline, niliamua kulipa kupitia njia ya tigo pesa halafu nikawadai benki ile pesa waliyokata kwenye akaunti yangu. Wao wakasema nao wanaidai kwenye taasisi iliyoikata pesa hiyo. Ni mwezi wa tano leo sijaipata pesa hiyo.

Pia kuna wakati nilipigwa faini barabarani kwa kuzidisha spidi ya gari. Nilivyoandikiwa control number, ilionesha jina la mmiliki wa awali wa gari, wakati nilishabadili umiliki TRA. Nilijiuliza kwa nini mifumo hii haisomani? Au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatukijui?

Nashawishika kuamini kuna hujuma kubwa sana inafanywa kwenye hii mifumo na huenda kuna vigogo wa siri hii.

Kwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.

Pia soma: DOKEZO - Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa
TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI WAJANJA WANAPIGA KODI ZA MASIKINI NA HAKUNA ANAYEJALI
 
Nchi Kwa Sasa inajiendea tu.hatuna rais,tuna mhuni mmoja tu.Duniani kote hakuna utaratibu wa rais kupata mbeleko ya kurithi madaraka.je kama hana uwezo kama huyu wa kwetu ni hasara kubwa kama tunayoipata Kwa Sasa wtz.Nchi zinazojielewa hakuna huo uhuni wa kurithishana ispokuwa huwa wanaitisha uchaguzi upya ili kuepuka hasara ya kupata kiongozi legelege kama wa Sasa wa tz wanayetulazimisha chawa wake tumwite mama wakati siyo mama yetu.
 
Vijana wamesoma IT wapo Street kazi hawana Ajira hawana HAPO ni mwendo wa kuchekecha mifumo TU mpaka kieleweke yaan mpaka Akili ziwakae Sawa

Hivi Serikali haioni km ni HATARI kusomesha Hawa vijana Teknolojia ya Habari na Mawasiliano alafu kuwaacha TU mitaani wanazagaazagaa unafikiri wata-practice wapi kile walichojifunza miaka mingi km SIO kwenye HIO HIO mifumo YAO?
Hiyo mifumo haichezewi na vijana makapuku waliokosa ajira inachezewa na vigogo wakubwa waliopo kwenye mfumo
 
sasa napata kuelewa ni vipi nakutanaga na fine za ajabu ajabu.
 
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi moja.

Nitatoa mfano;
Nilikuwa nadaiwa pesa yapata laki nne nikapewa control number. Hata hivyo nilitaka kuzilipa kwa awamu mbili, lakini mfumo ulinilazimisha nilipe pesa yote kwa wakati mmoja.

Siku nyingine nilitakiwa kulipa laki na elfu sitini, hata hivyo kwa haraka zangu nilijikuta nimelipa online kupitia benki kiasi cha laki moja na nusu. Nikasubiri majibu kuwa nimelipa, lakini haikunipa majibu yoyote. Nikaenda benki wakaniambia pesa imekatwa na kulipa hiyo pesa lakini control number bado inaonekana haijapokea malipo.

Kwa vile ilikuwa na deadline, niliamua kulipa kupitia njia ya tigo pesa halafu nikawadai benki ile pesa waliyokata kwenye akaunti yangu. Wao wakasema nao wanaidai kwenye taasisi iliyoikata pesa hiyo. Ni mwezi wa tano leo sijaipata pesa hiyo.

Pia kuna wakati nilipigwa faini barabarani kwa kuzidisha spidi ya gari. Nilivyoandikiwa control number, ilionesha jina la mmiliki wa awali wa gari, wakati nilishabadili umiliki TRA. Nilijiuliza kwa nini mifumo hii haisomani? Au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatukijui?

Nashawishika kuamini kuna hujuma kubwa sana inafanywa kwenye hii mifumo na huenda kuna vigogo wa siri hii.

Kwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.

Pia soma: DOKEZO - Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa
Bado malalamiko yako hayatoshi kuwa facts za kuonyesha kuna wizi kwa sababu zifuatazo:
1. Hoja kwamba ulishindwa kulipa laki 4 kwa awamu 2: Ufafanuzi ni kwamba anayeamua hatua za ulipaji ni mtengenezaji wa control number bill. Wakati wa kutengeneza bill unaweza ukaamua ilipwe kwa awamu au mara moja tu. Hiyo bill unaipa option ya "partial".
2. Hoja kwamba laki moja na hamsinj iliyolipwa kwa bill ya laki moja na sitini: Ufafanuzi ni kwamba control number/ bill ambayo siyo partial, haikubali kiasi tofauti na kiasi kilichowekwa wakati wa utengenezaji, iwe kubwa au ndogo. Hivyo ni sawa kwa bill kuendelea kuonekana haijalipwa.
3. Hoja ya gari yako kuendelea kuonekana mmiliki wa zamani: Hilo siwezi kujua kwa sababu sijui umebadilisha toka muda gani. Pengine bado mabadiliko bado yapo kwenye process.
Tunapotaka kujenga hoja za kutaka mabadiliko ya kweli, basi tufanye utafiti ili hoja zetu ziwe facts.
NB: Mimi siyo chawa wa awamu ya 6 kwa sababu wananiumiza sana wanapotaka kuchukua ardhi yote ya vijiji katika zetu za Longido, Simanjiro, Monduli, Ngorongoro na maeneo ya Ruvu Maasai kuwa maeneo ya wahuni kuwindia wanyama wetu.
 
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi moja.

Nitatoa mfano;
Nilikuwa nadaiwa pesa yapata laki nne nikapewa control number. Hata hivyo nilitaka kuzilipa kwa awamu mbili, lakini mfumo ulinilazimisha nilipe pesa yote kwa wakati mmoja.

Siku nyingine nilitakiwa kulipa laki na elfu sitini, hata hivyo kwa haraka zangu nilijikuta nimelipa online kupitia benki kiasi cha laki moja na nusu. Nikasubiri majibu kuwa nimelipa, lakini haikunipa majibu yoyote. Nikaenda benki wakaniambia pesa imekatwa na kulipa hiyo pesa lakini control number bado inaonekana haijapokea malipo.

Kwa vile ilikuwa na deadline, niliamua kulipa kupitia njia ya tigo pesa halafu nikawadai benki ile pesa waliyokata kwenye akaunti yangu. Wao wakasema nao wanaidai kwenye taasisi iliyoikata pesa hiyo. Ni mwezi wa tano leo sijaipata pesa hiyo.

Pia kuna wakati nilipigwa faini barabarani kwa kuzidisha spidi ya gari. Nilivyoandikiwa control number, ilionesha jina la mmiliki wa awali wa gari, wakati nilishabadili umiliki TRA. Nilijiuliza kwa nini mifumo hii haisomani? Au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatukijui?

Nashawishika kuamini kuna hujuma kubwa sana inafanywa kwenye hii mifumo na huenda kuna vigogo wa siri hii.

Kwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.

Pia soma: DOKEZO - Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa
Hao usalama wa Taifa wao hawawezi kufanya hiyo kazi Hadi waagizwe tu? Au wao kazi Yao ni kuhakikisha ccm haitolewi madarasani?
 
Huu usenge wa kulaumu Rais kwenye kila KITU tumeshauchoka SASA tumechoka tumechoka tumechoka,
Na bado...mpaka mseme! Dadadeq!
Huyu tunae na tutamsema sana,

Raisi amekuwa mlenda kuliko mlenda wenyewe, watu wanapiga pesa kweupe yeye kimya. Hata kauli ya kukemea tu hakuna... halafu mjinga mmoja anasema amechoka.
 
Vijana wamesoma IT wapo Street kazi hawana Ajira hawana HAPO ni mwendo wa kuchekecha mifumo TU mpaka kieleweke yaan mpaka Akili ziwakae Sawa

Hivi Serikali haioni km ni HATARI kusomesha Hawa vijana Teknolojia ya Habari na Mawasiliano alafu kuwaacha TU mitaani wanazagaazagaa unafikiri wata-practice wapi kile walichojifunza miaka mingi km SIO kwenye HIO HIO mifumo YAO?
Hata wakipewa ajira wataiba
Coz wanaoiba wapo ofisin

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine unakaa unajiuliza kama tuna haja ya kuwa na Usalama wa Taifa nchi hii endapo mambo yenyewe ndo kama haya!

TISS mko wapi?

Au kazi yenu kubwa ni kushughulikia wale wanaomkosoa Rais na serikali kwa uozo unaoendelea?
 
Hizo hela zinachepushwa na kuingia mifukoni mwa watu! Mbona hiko wazi? Issue ya Mbeya na Arusha uliisikia? Issue ya michango ya waajiriwa kwa mifuko ya jamii hasahasa PSSSF uliisikia? Hela yote inapigwa! Huyu mama ni bogus kabisa! Alafu CCM eti aongezewe 5! Nani wa kuliokoa taifa hili jamani? Labda Makonda tumpe nchi!
Nakata tamaa, hivi hawa CCM watatufikisha pahala kweli kama mambo yenyewe ndiyo haya ndugu zangu.
 
Na bado...mpaka mseme! Dadadeq!
Huyu tunae na tutamsema sana,

Raisi amekuwa mlenda kuliko mlenda wenyewe, watu wanapiga pesa kweupe yeye kimya. Hata kauli ya kukemea tu hakuna... halafu mjinga mmoja anasema amechoka.
MJINGA mmoja ni wewe plus Ukoo wako wote
 
Usalama wa Taifa ni pamoja na kupambana na hujuma dhidi ya nchi, kama hili aliloliibua Mh. Makonda.
Makonda Mungu wa Mbinguni akubariki sana kaka, you deserve more.
Paul Makonda
 
Back
Top Bottom