DOKEZO Kuna wizi unafanyika kwenye mifumo ya control number, sijui nani atachunguza labda Rais kuagiza watu wa usalama wa Taifa wachunguze

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
NOTHING IS IMPOSSIBLE AU MPAKA MSIKIE WAMEKAMATWA? NDIO VICHWA VYENU VINAFUNGUKA?
Kama ni graduates wana hizo skills unakamata wangapi? Kila mwaka wanaachiwa na vyuo.

Hilo la kuwezekana kuwakamata tu linaonyesha kuwa si suala linalowahusu idadi kubwa ya graduates. Unapinga halafu unatoa scenario za kukubali.
 
Sijakuelewa umeandika Nini?
 
Bado haujajua au niseme ni sawa unaishi SEHEMU 1 kwa HIO umeishia kuikaririsha SEHEMU 1 unayoiishi
Pole sana, sisemi najua kuliko watu wote but you have no idea nimeishi sehem ngapi dunia hii so asumption yako ni invalid bro
 
kama zina chepushwa mbona zina acess huduma sasa kuwa zimelipiwa
 
Pole sana, sisemi najua kuliko watu wote but you have no idea nimeishi sehem ngapi dunia hii so asumption yako ni invalid bro
Sijasema umeishi SEHEMU ngapi physical Wewe unajua ndio Ila ni sawa unajua upande mmoja wa Shilling ndio maana nikasema SEHEMU 1
 
Bosi bosi, kwa sisi wabobezi, watalaamu huu mfumo Dkt Magufuli alifanya vizuri ila panahitajika control, ilihitajika maandalizi ya ku cover gap. Yaani hapo wezi wataendelea kuiba
 
Sijakuelewa umeandika Nini?
Hoja yako ni graduates wapo mtaani hawaajiriwi ndo wanaosababisha tatizo la kuchezea mifumo, hoja yangu ni kwa elimu yetu ya makaratasi graduates hawana hizo skills na ujasiri huo kama wapo basi ni idadi ndogo sana. Sasa Jiongeze boss.
 
Wewe haujui hata unachokiandika Ila kwa kukusaidia NGOJA nikuache asiejua maana hua haambiwi maana
 
Machine za EFD, zimekuwa matoi. Watu wanatengeneza risiti za efd na wanaookea fedha.

Traffic zile mashine zao,huko fedha zinakopelekwa kupitia hizo machine,kama fedha zinafika huko mungu ndiye anayejua.

Tunaligwa mnookk
 
Fedha zinaliwa kuliko awamu zote zilizowahi kupita.

Sijajua ikifika 2025, huyu bibi atawaambia watanganyika fedha zimekwenda wapi.

Kinachoendelea kilio ni kikubwa sana kwenye mifumo ya tehama.!!
 
Hapo kwa Makonda umeharibu. Labda sababu ya uwezo wa ubongo wako. Ila Makonda ni mhalifu na muuaji
 
umeenda vizuri ulipofika Isreale hapo umekosea.tafuta nchi nyengine yenye kuheshimika duniani
 
Hizo ni micromanagement siyo kazi ya Rais. Muacheni Rais a deal na strategic issues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…