much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
SureNOTHING IS IMPOSSIBLE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SureNOTHING IS IMPOSSIBLE
Kama ni graduates wana hizo skills unakamata wangapi? Kila mwaka wanaachiwa na vyuo.NOTHING IS IMPOSSIBLE AU MPAKA MSIKIE WAMEKAMATWA? NDIO VICHWA VYENU VINAFUNGUKA?
Yeah kwa HIO hata HIO mifumo ya Serikali walio NJE wanaifumua vile vile bila kua traced POPOTESure
Sijakuelewa umeandika Nini?Kama ni graduates wana hizo skills unakamata wangapi? Kila mwaka wanaachiwa na vyuo.
Hilo la kuwezekana kuwakamata tu linaonyesha kuwa si suala linalowahusu idadi kubwa ya graduates. Unapinga halafu unatoa scenario za kukubali.
Pole sana, sisemi najua kuliko watu wote but you have no idea nimeishi sehem ngapi dunia hii so asumption yako ni invalid broBado haujajua au niseme ni sawa unaishi SEHEMU 1 kwa HIO umeishia kuikaririsha SEHEMU 1 unayoiishi
kama zina chepushwa mbona zina acess huduma sasa kuwa zimelipiwaHizo hela zinachepushwa na kuingia mifukoni mwa watu! Mbona hiko wazi? Issue ya Mbeya na Arusha uliisikia? Issue ya michango ya waajiriwa kwa mifuko ya jamii hasahasa PSSSF uliisikia? Hela yote inapigwa! Nani wa kuliokoa taifa hili jamani? Labda Makonda tumpe nchi!
Sijasema umeishi SEHEMU ngapi physical Wewe unajua ndio Ila ni sawa unajua upande mmoja wa Shilling ndio maana nikasema SEHEMU 1Pole sana, sisemi najua kuliko watu wote but you have no idea nimeishi sehem ngapi dunia hii so asumption yako ni invalid bro
Bosi bosi, kwa sisi wabobezi, watalaamu huu mfumo Dkt Magufuli alifanya vizuri ila panahitajika control, ilihitajika maandalizi ya ku cover gap. Yaani hapo wezi wataendelea kuibaNinapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi moja.
Nitatoa mfano;
Nilikuwa nadaiwa pesa yapata laki nne nikapewa control number. Hata hivyo nilitaka kuzilipa kwa awamu mbili, lakini mfumo ulinilazimisha nilipe pesa yote kwa wakati mmoja.
Siku nyingine nilitakiwa kulipa laki na elfu sitini, hata hivyo kwa haraka zangu nilijikuta nimelipa online kupitia benki kiasi cha laki moja na nusu. Nikasubiri majibu kuwa nimelipa, lakini haikunipa majibu yoyote. Nikaenda benki wakaniambia pesa imekatwa na kulipa hiyo pesa lakini control number bado inaonekana haijapokea malipo.
Kwa vile ilikuwa na deadline, niliamua kulipa kupitia njia ya tigo pesa halafu nikawadai benki ile pesa waliyokata kwenye akaunti yangu. Wao wakasema nao wanaidai kwenye taasisi iliyoikata pesa hiyo. Ni mwezi wa tano leo sijaipata pesa hiyo.
Pia kuna wakati nilipigwa faini barabarani kwa kuzidisha spidi ya gari. Nilivyoandikiwa control number, ilionesha jina la mmiliki wa awali wa gari, wakati nilishabadili umiliki TRA. Nilijiuliza kwa nini mifumo hii haisomani? Au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatukijui?
Nashawishika kuamini kuna hujuma kubwa sana inafanywa kwenye hii mifumo na huenda kuna vigogo wa siri hii.
Kwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.
Pia soma: DOKEZO - Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa
Hoja yako ni graduates wapo mtaani hawaajiriwi ndo wanaosababisha tatizo la kuchezea mifumo, hoja yangu ni kwa elimu yetu ya makaratasi graduates hawana hizo skills na ujasiri huo kama wapo basi ni idadi ndogo sana. Sasa Jiongeze boss.Sijakuelewa umeandika Nini?
Wewe haujui hata unachokiandika Ila kwa kukusaidia NGOJA nikuache asiejua maana hua haambiwi maanaHoja yako ni graduates wapo mtaani hawaajiriwi ndo wanaosababisha tatizo la kuchezea mifumo, hoja yangu ni kwa elimu yetu ya makaratasi graduates hawana hizo skills na ujasiri huo kama wapo basi ni idadi ndogo sana. Sasa Jiongeze boss.
Hapo kwa Makonda umeharibu. Labda sababu ya uwezo wa ubongo wako. Ila Makonda ni mhalifu na muuajiHizo hela zinachepushwa na kuingia mifukoni mwa watu! Mbona hiko wazi? Issue ya Mbeya na Arusha uliisikia? Issue ya michango ya waajiriwa kwa mifuko ya jamii hasahasa PSSSF uliisikia? Hela yote inapigwa! Nani wa kuliokoa taifa hili jamani? Labda Makonda tumpe nchi!
Ushafeli.Wewe haujui hata unachokiandika Ila kwa kukusaidia NGOJA nikuache asiejua maana hua haambiwi maana
umeenda vizuri ulipofika Isreale hapo umekosea.tafuta nchi nyengine yenye kuheshimika dunianiNinapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi moja.
Nitatoa mfano;
Nilikuwa nadaiwa pesa yapata laki nne nikapewa control number. Hata hivyo nilitaka kuzilipa kwa awamu mbili, lakini mfumo ulinilazimisha nilipe pesa yote kwa wakati mmoja.
Siku nyingine nilitakiwa kulipa laki na elfu sitini, hata hivyo kwa haraka zangu nilijikuta nimelipa online kupitia benki kiasi cha laki moja na nusu. Nikasubiri majibu kuwa nimelipa, lakini haikunipa majibu yoyote. Nikaenda benki wakaniambia pesa imekatwa na kulipa hiyo pesa lakini control number bado inaonekana haijapokea malipo.
Kwa vile ilikuwa na deadline, niliamua kulipa kupitia njia ya tigo pesa halafu nikawadai benki ile pesa waliyokata kwenye akaunti yangu. Wao wakasema nao wanaidai kwenye taasisi iliyoikata pesa hiyo. Ni mwezi wa tano leo sijaipata pesa hiyo.
Pia kuna wakati nilipigwa faini barabarani kwa kuzidisha spidi ya gari. Nilivyoandikiwa control number, ilionesha jina la mmiliki wa awali wa gari, wakati nilishabadili umiliki TRA. Nilijiuliza kwa nini mifumo hii haisomani? Au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hatukijui?
Nashawishika kuamini kuna hujuma kubwa sana inafanywa kwenye hii mifumo na huenda kuna vigogo wa siri hii.
Kwa hali ilivyo, ni Rais pekee ndiye anaweza kufanya kitu. Badala ya kuagiza wanaosimamia mifumo hii wachunguze, anapaswa kuagiza watu wa usalama wa taifa wafanye kazi hiyo. Ikibidi watafute wataalamu wa nje kama vile Israel kuwasaidia. Vinginevyo watu watakuwa wakitakatisha pesa tu na hatuwezi kuwajua.
Pia soma: DOKEZO - Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa
Haina KUFELIUshafeli.
Hizo ni micromanagement siyo kazi ya Rais. Muacheni Rais a deal na strategic issuesRais, wetu ana uwezo, mdogo sana, wa, kuongoza,"she is, overwhelmed by sheer size of responsibility of governing"Mambo ya security, uchumi, uharifu, nk, yote haya, Samia,Hana uwezo, mental brain capacity ya kuyachakata, nchi inajiendea tu, maana mama, hatoi mwongozo!
Mfano mdogo tu,mwanamke mwenzie ananyanyaswa hadharani, Taasisi za, chama zinakalipia, Taasisi za, sheria zinakalipia, Mama hatii neno,ndio kwanza, anaenda kucheza "ameroa"ya kondeboy, siku ya, pili tunasikia anakwea pipa kwenda majuu,Korea! So, patheric