Professorheist
Member
- Feb 16, 2024
- 29
- 33
Mifumo mingi ya serikali ni takataka tu. Ukija kwa wafanyabiashara, mwaka jana 2023 walianzisha mfumo wa kulipia leseni ya biashara online kwa jina la tausi! Ulisumbua watu mpaka basi!Habari,
Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa kutumia huu mfumo? Aje atupe ushuhuda kidogo. Huu mfumo bado ni changamoto.
Mi Nimekwama hapaa.. Kwenye Cv wamesema unaweka doc ya barua ya kuomba uhamisho.. Sijui ndo vinavotakiwa hataaπ
tumeambiwa tuweke cv tu barua wamegoma kupitisha wamesema cv tuππ€·π»ββοΈπ€·π»ββοΈπ€·π»ββοΈπ€·π»ββοΈπ€·π»ββοΈMi Nimekwama hapaa.. Kwenye Cv wamesema unaweka doc ya barua ya kuomba uhamisho.. Sijui ndo vinavotakiwa hataaπ
Mfumo una hekaheka miambiliiii kidogoo ππππ
Nitatoka tu tena this year!π
Mifumo mingi ya serikali ni takataka tu. Ukija kwa wafanyabiashara, mwaka jana 2023 walianzisha mfumo wa kulipia leseni ya biashara online kwa jina la tausi! Ulisumbua watu mpaka basi!
Wafanyabiashara hawakupeaa elimu yoyote! Unaenda kulipia leseni, unaambia kajiunge kwenye mfumo! Sijui mwaka huu kama huo mfumo umetulia.
Kwa hiyo hata huko kwenye huo mfumo wa ESS, nako mambo yatakuwa ni yale yale. Sidhani kama wahusika wameshirikishwa ipasavyo kwenye matumizi yake.
Weee kumbe??? Ile ya personal particulars mpaka unapotokea ndio wanataka???Tume
tumeambiwa tuweke cv tu barua wamegoma kupitisha wamesema cv tuππ€·π»ββοΈπ€·π»ββοΈπ€·π»ββοΈπ€·π»ββοΈπ€·π»ββοΈ
Hahahaha kwa mfumo ulivyo unasumbua watu sitoshangaa mtu akajiachisha kazi kwa njia ya mfumo na akakubaliwa akakuta barua yake ofisiniπππππππππππππππHabari,
Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa kutumia huu mfumo? Aje atupe ushuhuda kidogo. Huu mfumo bado ni changamoto.
Hahahaha kwa mfumo ulivyo unasumbua watu sitoshangaa mtu akajiachisha kazi kwa njia ya mfumo na akakubaliwa akakuta barua yake ofisiniπππππππππππππππ
Labada tuwaulize kwenye mfumo wa emrejeshoππ tujue tatzo nn ππMifumo ilivo mingi sasa πππππ!
Habari,
Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa kutumia huu mfumo? Aje atupe ushuhuda kidogo. Huu mfumo bado ni changamoto.
Jibu ni hakuna,waliopata vibali vya uhamisho ni wale wa kabla ya mfumo,Kuna jamaa yng kapata,kiukweli utumishi ndio kikwazo kikubwa ktk masuala ya uhamishoHabari,
Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa kutumia huu mfumo? Aje atupe ushuhuda kidogo. Huu mfumo bado ni changamoto.
Kwa sasa tausi iko vizuriMifumo mingi ya serikali ni takataka tu. Ukija kwa wafanyabiashara, mwaka jana 2023 walianzisha mfumo wa kulipia leseni ya biashara online kwa jina la tausi! Ulisumbua watu mpaka basi!
Wafanyabiashara hawakupeaa elimu yoyote! Unaenda kulipia leseni, unaambia kajiunge kwenye mfumo! Sijui mwaka huu kama huo mfumo umetulia.
Kwa hiyo hata huko kwenye huo mfumo wa ESS, nako mambo yatakuwa ni yale yale. Sidhani kama wahusika wameshirikishwa ipasavyo kwenye matumizi yake.
Jibu ni hakuna,waliopata vibali vya uhamisho ni wale wa kabla ya mfumo,Kuna jamaa yng kapata,kiukweli utumishi ndio kikwazo kikubwa ktk masuala ya uh
Kuhusu barua kutakiwa au la na mambo mengineyo hasa kuhusu takwimu za wangapi wamehama na kuhusu mda ambao uhamisho unatakiwa kuwa umetoka,tunaomba jf watusaidie kuwasiliana na utumishi ili mkanganyiko uisheWeee kumbe??? Ile ya personal particulars mpaka unapotokea ndio wanataka???
Mwanzo niliweka hio badae mtu akaniambia sio hio ni barua leo tena hawataki barua jamani!! hata hawaeleweki kiukweli
cc Smart911