Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

Itakuwa ni ahueni kwa wafanyabiashara kama hali imekuwa shwari kwa sasa.
Ni kweli inarahisisha sana, niliutumia kuombea leseni ya biashara fulani, ndani ya siku mbili tu, nikalipia namba ya malipo, na ku-print leseni hapo hapo.
 
Kiukweli huu mfumo upo tu kama kizuizi Cha watumishi wasihame maana haiwezekani ukienda Kwa IT anakuambia nenda utumishi ukienda utumishi anakuambia Rudi idara Yako ukirudi idara Yako napo kiongozi mkubwa kabisa anakupa majibu rahisi sijapewa role hivo siwezi pitisha daaah unajiuliza role natoa Mimi au inakuwaje mbona mfumo unajieleza kabisa role wanapewa na IT ma Ded wote na Ma Deo Ina bidi TAMISEMI ishughulike nao kikamilifu vinginevo Kuna mianya ya rushwa Ina tengenezwa au vinginevyo warudishe mfumo wa zamani wa barua au watumishi waende moja Kwa moja TAMISEMI
 
Kuhusu barua kutakiwa au la na mambo mengineyo hasa kuhusu takwimu za wangapi wamehama na kuhusu mda ambao uhamisho unatakiwa kuwa umetoka,tunaomba jf watusaidie kuwasiliana na utumishi ili mkanganyiko uishe
Ni kweli Kabisa..!! JAMII FORUMS ADMIN TUNAOMBA MTUSAIDIE KWENYE MAMLAKA HUSIKA UTUMISH KUHUSU SUALA YA UHAMISHO NA MFUMO WA ESS KWAKUWA NI CHANGAMOTO.
 
Kiukweli huu mfumo upo tu kama kizuizi Cha watumishi wasihame maana haiwezekani ukienda Kwa IT anakuambia nenda utumishi ukienda utumishi anakuambia Rudi idara Yako ukirudi idara Yako napo kiongozi mkubwa kabisa anakupa majibu rahisi sijapewa role hivo siwezi pitisha daaah unajiuliza role natoa Mimi au inakuwaje mbona mfumo unajieleza kabisa role wanapewa na IT ma Ded wote na Ma Deo Ina bidi TAMISEMI ishughulike nao kikamilifu vinginevo Kuna mianya ya rushwa Ina tengenezwa au vinginevyo warudishe mfumo wa zamani wa barua au watumishi waende moja Kwa moja TAMISEMI
Toka ulipoanza huu mfumo tareh 1 sep 2023 mpaka leo maombi yametulia tuu Akuna hata kinachoendelea ni bora waruhusu barua kama zaman mpaka mfumo utakapotulia..!
 
Kiukweli huu mfumo upo tu kama kizuizi Cha watumishi wasihame maana haiwezekani ukienda Kwa IT anakuambia nenda utumishi ukienda utumishi anakuambia Rudi idara Yako ukirudi idara Yako napo kiongozi mkubwa kabisa anakupa majibu rahisi sijapewa role hivo siwezi pitisha daaah unajiuliza role natoa Mimi au inakuwaje mbona mfumo unajieleza kabisa role wanapewa na IT ma Ded wote na Ma Deo Ina bidi TAMISEMI ishughulike nao kikamilifu vinginevo Kuna mianya ya rushwa Ina tengenezwa au vinginevyo warudishe mfumo wa zamani wa barua au watumishi waende moja Kwa moja TAMISEMI
Tatizo ni taasisi unayotoka hawataki uame
 
Kama hawayaoni fungua akaunti yako uwaonyeshe, na 'status' pia ipo inakuonyesha ipo kwa nani.
Kwa ujumla binadamu ni wazuri kwa uso, ila kwa ndani ni wahuni tu.
Akili ya saivi ni kwenda moja Kwa moja TAMISEMI na kuripoti uozo wote nao wakiwa vichwa. Maji ni kuchukua mkopo mkubwa na kuacha kazi mke huku mume kule ndoa Zina vunjika kisa kazi familia zina gawanyika kisa kazi
 
Kabla ya kufika utumishi, msimamizi wako na mkuu wako wa taasisi wanatakiwa nao wapitishe kwenye mfumo
Mm naongelea kwa wale ambao tayari status inasoma utumishi,kama mfumo unarahisisha kazi,kwanini ichukue miezi kibao kuandikia watu vibali? Make mfumo ulivyo,kama sehemu nafas ya kuhamia hakuna,mfumo unakataa na kama IPO unakubali,sasa inakuaje utumishi wanacheleweshea watu uhamisho? Imagine sababu ya uhamisho ni kuuguza mgonjwa, au ugonjwa,hii ni sababu kubwa,sasa inakuaje mpaka kibali kutoka inachukua hata miezi 8,si huyo mgonjwa atakufa,yaani kibali kinatoka na tayari mgonjwa ashafariki
 
Kwa mazingira hayo kutakuwa na uzembe wa kibinadamu tu
 
Mm naongelea kwa wale ambao tayari status inasoma utumishi,kama mfumo unarahisisha kazi,kwanini ichukue miezi kibao kuandikia watu vibali? Make mfumo ulivyo,kama sehemu nafas ya kuhamia hakuna,mfumo unakataa na kama IPO unakubali,sasa inakuaje utumishi wanacheleweshea watu uhamisho? Imagine sababu ya uhamisho ni kuuguza mgonjwa, au ugonjwa,hii ni sababu kubwa,sasa inakuaje mpaka kibali kutoka inachukua hata miezi 8,si huyo mgonjwa atakufa,yaani kibali kinatoka na tayari mgonjwa ashafariki
Matatizo kwa kweli..!!! Au wanataka wafuatwe..!
 
Kama hawayaoni fungua akaunti yako uwaonyeshe, na 'status' pia ipo inakuonyesha ipo kwa nani.
Kwa ujumla binadamu ni wazuri kwa uso, ila kwa ndani ni wahuni tu.
Unamuonesha!! Na yeye anasema sawa yapo kwangu naona lakin kwangu siyaon..!😁😁😳😳😳
 
Back
Top Bottom