Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

Hivi niulize na uhamisho wa ndan ya mkoa unatumia huu mfumo wa ESS?
 
Maombi msimamiz hayaoni
Mimi pia ilikuwa hivyo supervisor hakuwa anaona. Nikambeba tukaenda wote kwa it akawa haoni pia...nilienda zaidi ya siku mbili kushughulikia hilo bila kukata tamaa, mwisho IT alifanikiwa na kunifoward kwa ACCOUNTING OFFICER. Nilipomuuliza HR way fowrd alisema sitaona chochote hata ikifika tamisemi bado itasoma kwake(accounting officer) But haikuwa hivyo baada ya siku 3 hivi ilisoma kwa (RAS) Na baada ya siku kama 3 au 4 hivi ikasoma (APPROVAL SATUS: APPROVED )
So nadhani pia Kuna ugen mkubwa kwenye hii mifumo kwa waendeshaji.
Sijahama bado sielewi pia baada ya hapo nini kinafuata.( haya yote nimeyashugulikia chini ya mwezi mmoja)
 
Utasubiri sana,hawana mpango wala
 
Check upande wa attachment unaweza kuta barua yako huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…