Mimi nilituma application nikajibiwa hivi........
Thank you for your application.
We have reviewed your qualifications and pre- shortlisted you for the position of Administration Officer with Living Fund- Tanzania Program
Find attached the Living Fund Entry Assessment Form. Fill it honestly and
accurately and return the same as we need to fill the position as soon as possible .
Please note that we require for the position your latest Cognitive Ability Psychometric Test(CAPT) certified by an Independent Psychometric Invigilator
Should you not have your psychometric assessment ready, please fill the
entry assessment form but schedule your CAPT with an International
invigilator including but not limited to;
Apple gate www.applegate.co.uk
Escbon Services Africa www.escbon.com
Testing Mind www.testingmind.com
Any other accredited CAPT Invigilator is fine as well.
Please scan and email the certified CAPT score to reach me by Friday 11th March 2011.
all the bestMie kila nikisoma tangazo la kazi katika site hiyo nikifika kwenye kipengele cha mode of application hua nachoka. maana wanakwambia use the e-mail above. ukienda juu hakuna email zaidi ya wao.
To be honest kazi zangu nyingi nazipata kupitia kwenye magazeti na hasa The Guardian na Daily news. Jumatatu naenda kufanya Interview katika NGO nyingine nataka ni shift kutoka kwenye NGO niliyonayo sasa
habari!
Naomba kama kuna yeyote humu jamvini atoe ushuhuda kama alishawahi kuitwa katika usaili au kupata ajira kwa kupitia everythingdar.
Hawa jamaa wanatangaza posts nyingi hivyo ningependa kujua kama kasi ya kutangaza nafasi hizo pia inaendana na kuajiri.
Aksante.
Mimi bwana naapply kila wakati but no responnse!!
Ila kuna mshiriki mmoja anasema tuwe tunatuma maombi kwa website ya kampuni na si kwa hao everythingindar,thanks nakubaliana nae ngoja sasa nianze na new mode of application.
Habari!
Naomba kama kuna yeyote humu jamvini atoe ushuhuda kama alishawahi kuitwa katika usaili au kupata ajira kwa kupitia everythingDAR.
Hawa jamaa wanatangaza posts nyingi hivyo ningependa kujua kama kasi ya kutangaza nafasi hizo pia inaendana na kuajiri.
Aksante.