😆😆😆Basi huyu mzee apewe bilioni moja ili asambaze radi nchi nzima siku ya uchaguzi
Hahaha,Basi huyu mzee apewe bilioni moja ili asambaze radi nchi nzima siku ya uchaguzi
Shukrani mkuu ,ngoja tufuatilie bariadiInabidi uwe na nyuki trilioni 60 kujaza vituo vyote vya uchaguzi
Itabidi wstoke kwenye mizinga yao wakafanye survey
Tutapoteza tani kibao za asali, hii ni hadara kiuchumi
Hiyo technolojia ipo bariadi
Una uwezo wa kutengeneza Nyuki kiasi gani ?Mtaalamu nipo hapa, nipeni kazi.
Wewe unataka kiasi gani?Una uwezo wa kutengeneza Nyuki kiasi gani ?
Umenikumbusha debate za shuleni..!! Proposer side..!!Iam here to support this motion
Wasiliana na ukoo wa LITI huko Mkoani SingidaNaona Science mbadala zinaweza saidia reforms zikapatikana .
Tusaidiane kwa hili
Hakuna haja njia rahisi kabisa ni kutokwenda kupiga kura! Linda kura yako kwa kutotokea kituo cha uchafuziNaona Science mbadala zinaweza saidia reforms zikapatikana .
Tusaidiane kwa hili
Shida hutatokea wewe wengine watahalalisha kwa kutokeaHakuna haja njia rahisi kabisa ni kutokwenda kupiga kura! Linda kura yako kwa kutotokea kituo cha uchafuzi
Utachoka tu ndugu yangu, alichosema Polepole ni mbinu moja tu ya CCM kujipatia ushindi, bado zipo zingine 99 hajazitaja.Naona Science mbadala zinaweza saidia reforms zikapatikana .
Tusaidiane kwa hili
TUSHATIKI 🍉PALE AKILI ZA KUZUIA UCHAGUZI ZINAPOFIKA MWISHO/ TAMATI.....!😃😃😃😃😃😃😃
TUNA ✔️
Yanamrudia aliyetumaSerikal ndo wachawi kuliko kitaa amini machief wote wanajua code wapo show maxx
Yupo Lucas Mwashambwa sema yupo upande wa majangili ya mali za ummaNaona Science mbadala zinaweza saidia reforms zikapatikana .
Tusaidiane kwa hili