Blueboy Jr
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 557
- 940
Aah sio powamkuu atajuta ππYanamrudia aliyetuma
Alf Tutamskia kwenye news fulani kashambuliwaAah sio powamkuu atajuta ππ
Msipoenda wanafanya kama 2024, wanajitangaza washindi wa kushindo kwa 99.9%Hakuna haja njia rahisi kabisa ni kutokwenda kupiga kura! Linda kura yako kwa kutotokea kituo cha uchafuzi
Nipo hapaπNaona Science mbadala zinaweza saidia reforms zikapatikana .
Tusaidiane kwa hili
Naona Science mbadala zinaweza saidia reforms zikapatikana .
Tusaidiane kwa hili
πππYupo Lucas Mwashambwa sema yupo upande wa majangili ya mali za umma
Pamojaπππ