Tetesi: Kunani CHADEMA, Slaa na harakati za kuanzisha chama kipya

raisiajaye

Member
Joined
Aug 2, 2023
Posts
18
Reaction score
26
Watani, Ndoa ya CHADEMA na Dkt Slaa inaelekea mwisho, Slaa anaelekea chama kipya.

Walijaridu kuforce bond kwenye mkutano wa Temeke, picha halisi ilionesha chemistry kati ya Dkt Slaa na CHADEMA haikubali, ndio maana Slaa toka mkutano wa Temeke ameachwa rasmi kutumika kwenye mikutano ya CHADEMA inayoendelea huko kanda ya ziwa.

Babu ameudhika, naona kaamua aanzishe chama kipya target kubwa ikiwa ni wafuasi wa Hayati Magufuli.

Acha tuone.
 
angalia walivyokudharau, hakuna hata response moja. Stupid
 
Mjinga ndio anaamini Slaa alikuwa na NDOA na Chadema lakini mwenye Akili anajua Slaa aliondoka Chadema na Kupewa Ubalozi na ccm
 
Mkuu mbona sioni hata sababu ya hasira kali kiasi hicho?Hivi vitu ambavyo ni hewa kabisa vitakukasirishaje hivyo?Si utapata mavisukari na mapresha bure.Mna shida kubwa.
Ndugu yetu huyo atakua na magonjwa ya moyo maana sio kwa kukasirika huko
 
Mjinga ndio anaamini Slaa alikuwa na NDOA na Chadema lakini mwenye Akili anajua Slaa aliondoka Chadema na Kupewa Ubalozi na ccm
Wakikusikia movement for change watakupiga mawe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ