Hayo mambo yao binafsi yanawahusu nini?kwa nini tusiangalie mambo yetu hasa ya maendeleo?wakiwa wapenzi inasaidia nini kwa maendeleo yako au ya Taifa?mambo binafsi zaidi!
kupendana wapenadane wao, kukaa wakae wao, THREAD UFUNGUE WEWE?? MBONA MAJANGA?? snura mi luv u mingi!
Kakidoti nako kanagawa papuchieee!!?
"To know the enemy is half the victory"