Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Huyu mwanaCCM kapigwa risasi na nani? Hizi habari zinafichwafichwa au kuna nini?
Yupo mtu mwingine yule Mbarikiwa🙁 yule anayesema mtoto kauawa na Diwani Othman,wake pia wanagombana na Nape,nadhani ndio maana hatuwaoni kwenye gazeti) namuona katika internet lakini simuoni katika gazeti. What's happening.?
Maneno makali hapa yamesemwa kuhusu Masauni,kwamba asithubutu kwenda Kagera or something.
Sasa,mambo yawekwe public yajadiliwe.