miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Tena msingi tu balaa. Ila jaman watu wamejengaaa. Huku dar kubaya sana[emoji23][emoji23]Naam mm nyumba yangu kule uchagani nikija bukoba najenga 2 kama hizo ,Moshi ni tofali za block time bukoba wanajengea tofali za kuchoma na simenti ni udongo Sissi Kilimanjaro 100% ni full siment
Siyo nikifa mukienda nizika muanze nisimanga. Lazima nijenge kitu cha heshima
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app