Mimi nawasaport wahaya hasa wa kiume kuendelea kuzichakata Tena kwa katerero sio kujibanabana na kujikuta unachakatwa[emoji23]
Takwimu za Tanzania za umaskini zinashangaza Sana.
Kagera izalishe kahawa 60%, izalishe maharage 20%,izalishe ndizi 65%, izalishe vanilla 90%, izalishe Sukari nk. Wilaya zina hospital Hadi tano,wilaya zote zinalami,watu wanasomesha watoto shule nzr una English medium vijijini,
Bado majumba ya kufa mtu vijijini
Lakin bado wanakwambia mkoa wa kagera ni wa 10 kwa umaskini ukiziwa na mikoa ya pwani,mtwara, nk kwa sababu Ina viwanda vingi na population ndogo kulinganisha na GDP wakati vijijini huko hali Tete.