Ooh yeah.. lazima itakua hivi. Viwanda vingi kweli siku hizi vimewekezwa huko. Na population obvious ni ndogo. Zaidi sasa watu wanawahamisha tena wenyeji wa pwani aisee. Sijui ni uvivu ama ni nn. Ama ndo Elimu itakua.
Kagera mna ardhi kubwa sana ambayo bado haitumiki. Maybe ongezeni jitihada za kuzalisha zaidi. Kilimanjaro watu waling'oa mikahawa baada ya siasa kutamalaki ila naona wamerudisha tena. Nyie muna boarder na uganda lkn sielewi tatizo ni nn. Maybe miundo mbinu inawaangusha. And maybe exposure kwa majority hapo. Wati hawana muingiliano wa kutosha kuweza leta competition. And by nature wati wenye vyeti huwa si matajiri.
Uchaggani, machame na marangu enzi hizo walikua ndo wasomi kweli kweli. Warombo na wakibosho wakaanzaga uchuuzi na hatimaye leo ni wafanyabiashara wakubwa sana. Wmachame na wamarangu wamebakia kuwa ordinary kwakua pesa haiendi kwenye makaratasi tena. Same nawaza kwenu pia. Sioni kama nature yenu ni biashara. Office based.
Sent from my SM-G960U using
JamiiForums mobile app