instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Duu hii sifa sijawahi sikia.watakuwa wachache sanaAah wapi. Nyie wenyewe wabinafsi kwa wenyewe. Mtu akishatusua basi hataki mwingine atusue. Hili mnajulikana
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sisi mtu ukifanikiwa anavuta ukoo mzima Kama hujui . Ndo ubinafsi unapokuja kupendana kupitiliza.