edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Siwezi kujihuisha na ujinga kama ukabila mimi ni mtanzaniaWewe huna kabila?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kujihuisha na ujinga kama ukabila mimi ni mtanzaniaWewe huna kabila?
Kwa nyie ndo mnaabudu dini za wazungu asilimia 100?Hahahaha madaktari wa asili wanatembea na tunguli?[emoji3][emoji3][emoji3]
Ajui kitu mpuuze huyuAcha kuchekesha Mkuu,kwamba Kilimanjaro yote iwe na maprofesa 24? Hahaha uchagani pekee tuna maprofesa zaidi ya 200 Bado upare,Tena Kuna senior professors wa mwanzo mwanzo kabisa include Prof isaria kimambo
Prof Godfrey mmari n.k
Nikitaja maprofesa wa uchagani hapa utalia
Kurunzi fazili hebu njooni muone kituko eti Kilimanjaro tuna maprofesa 24 tu eti
wachaga ni makatili mno 😛 muhaya majivunoMuhaya Ni majivuno,akianza kuongea hamalizi,mchagga Ni mtu katili na muuaji ,ogopa Sana wachagga sio watu wazuri
Mimi nadhani labda kuna agenda ya Siri ya kuhudhorotesha mkoa wa Kagera ambayo hatuijui. Mfano Pwani watu Wana maisha magumu Sana sema unabebwa na Dar es salaam.Hahaha acha fiksi mkoa kuwa ktk uchumi mzuri wanaangalia vigezo vya watu ktk nyanja zifuatazo
Huduma za jamii
Life expectancy
Per capita income
Makazi Bora
Infant rate nk
Kagera hivyo vitu vipo low ndio maana ni mkoa wa 9 kwa umaskini as now
Subiri biharamulo na ngara ziunganishwe mkoa wa chato ndo kagera kitakwimu itakaa pazuri Sana.Mimi nadhani labda kuna agenda ya Siri ya kuhudhorotesha mkoa wa Kagera ambayo hatuijui. Mfano Pwani watu Wana maisha magumu Sana sema unabebwa na Dar es salaam.
N.B Aisee nimetembelea mikoa kama Dodoma, Tabora, Shinyanga, Manyara n.k maisha ni duni muno huko lakini cha kushangaza eti kwenye lipoti, hiyo mikoa inaonekana kuwa na maendeleo.
Tukitoa mijini, kwa vijijini mikoa yenye maendeleo ni Kilimanjaro, Kagera, Mbeya kwingine huko hali ni tete zaidi.
Kumbe hadi watoe bimulo na ngara ndio unawza ku compete na Mimi Kilimanjaro?[emoji3][emoji3]Subiri biharamulo na ngara ziunganishwe mkoa wa chato ndo kagera kitakwimu itakaa pazuri Sana.
Hakuna mkoa uliojengeka vijijini Kama kagera nchi hii
Wanadanga hao balaaWahaya si ndo wakiingia baa wanaagiza kumi kumi kwa kila mtu
Aah wapi. Nyie wenyewe wabinafsi kwa wenyewe. Mtu akishatusua basi hataki mwingine atusue. Hili mnajulikanaSidhani Kama Kuna kabila watu wake hupendana Sana Kama wahaya hapa nchini....Hadi watz wengi wanawaoea wivu na kuona wabinafsi.
Ulichoandika hapo ni wachaga Sasa . Wana roho mbaya Sana wale watu na wanachukiana wao kwao wao Hadi kufanya ndugu zao vichaa ili wapate Mali.
Uru Moshi ndo sehemu yenye vichaa wwngi Tanzania hio yote ni kurogwa na ndugu zao
Sasa hata kijiografia hujui bk kubwa kuliko moshi? Ndo maana mji unaweza panuka. Kilimanjaro ardhi yake ni ndogoKwan matajiri wa kichaga wapo Moshi!??[emoji23][emoji23]
Eti bukoba kunaangamia??? [emoji23] Labda sio bukoba nayoijua Mimi. Moshi ndo kunaangamia mji uko vile vile miaka nenda Rudi mji haupanuki.
Bukoba mji unapanuka Sana na Sasa umeanza kumeza vijiji vya wilaya ya bukoba vijijini . Kama ulikua hujui mji wa bukoba ni Mpana kuliko Moshi.
Bukoba inazidiwa na Moshi kwenye miundombinu. Miundombinu ya bukoba imechoka Sana na Hilo ni jukumu la serikali sio wananchi
Kwenye ukoo wetu maprofesa wako zaidi ya 10. Na wengine wamedundisha hapo UDSM. Ndo maana nachekaaa[emoji23] eti 21. Daah. Kuna mpaka maprof wa macho mujimbili. Na hao ni hawa niliozoeana nao tu. Waachage masikhara. Muache urongooAcha kuchezesha Mkuu,kwamba Kilimanjaro yote iwe na maprofesa 24? Hahaha uchagani pekee tuna maprofesa zaidi ya 200 Bado upare,Tena Kuna senior professors wa mwanzo mwanzo kabisa include Prof isaria kimambo
Prof Godfrey mmari n.k
Nikitaja maprofesa wa uchagani hapa utalia
Kurunzi fazili hebu njooni muone kituko eti Kilimanjaro tuna maprofesa 24 tu eti
Nikashangaa na mm. Khaaa... tena uhaya umemkoleaaa[emoji23][emoji23][emoji23] kinyaiya shoga? Akamtest basiHuyo delicious sio mchaga,huyo ni mgogoo mixer muhaya
Kwenye suala la miti shamba respect sana kwenu aiseee. Mko vyema sana..na zinasaidia haga huku aisee ingawa sijawahi tumia ila naona mitaa kibao zinauzwa na waliotumia wanazisifu.Mganga?
Huko bukoba hao sio waganga Bali ni madaktari wa dawa za asili za ukoo ndo maana dawa za kihaya zinatafutwa sana
Yaan kwa pwani nami nimetafakari sana. Kuna kaya ni masikini achaaaa. Achaa kbs. Sijui imeingiajeMimi nadhani labda kuna agenda ya Siri ya kuhudhorotesha mkoa wa Kagera ambayo hatuijui. Mfano Pwani watu Wana maisha magumu Sana sema unabebwa na Dar es salaam.
N.B Aisee nimetembelea mikoa kama Dodoma, Tabora, Shinyanga, Manyara n.k maisha ni duni muno huko lakini cha kushangaza eti kwenye lipoti, hiyo mikoa inaonekana kuwa na maendeleo.
Tukitoa mijini, kwa vijijini mikoa yenye maendeleo ni Kilimanjaro, Kagera, Mbeya kwingine huko hali ni tete zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23] hivi unasema nn? Vijinini kumejengeka sana?Subiri biharamulo na ngara ziunganishwe mkoa wa chato ndo kagera kitakwimu itakaa pazuri Sana.
Hakuna mkoa uliojengeka vijijini Kama kagera nchi hii
Kilimanjaro mkoa ni Kama wilaya ya muleba tu kwa kagera[emoji23][emoji23]Kumbe hadi watoe bimulo na ngara ndio unawza ku compete na Mimi Kilimanjaro?[emoji3][emoji3]
Kilimanjaro despite same na mwanga lakini bdo naendelea ku maintain namba mbili kwa maisha Bora,makazi Bora kwa 90% kila mwaka,je na mm nikiondoa same na mwanga si nitkuwa NEWYORK?
kagera ni MWANAFUNZI tu kwa Kilimanjaro[emoji3][emoji3]
Hiv Kuna wadangaji mjini Kama wachaga?
Imejengeka wapi mkuu[emoji23]Kilimanjaro mkoa ni Kama wilaya ya muleba tu kwa kagera[emoji23][emoji23]
Ndo maana nasema kagera imejenngeka zaidi. Wilaya hiz za misenyi, muleba, bukoba vijijini,na karagwe ni sawa na Kilimanjaro tatu