Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

Naam mm nyumba yangu kule uchagani nikija bukoba najenga 2 kama hizo ,Moshi ni tofali za block time bukoba wanajengea tofali za kuchoma na simenti ni udongo Sissi Kilimanjaro 100% ni full siment
Tena msingi tu balaa. Ila jaman watu wamejengaaa. Huku dar kubaya sana[emoji23][emoji23]
Siyo nikifa mukienda nizika muanze nisimanga. Lazima nijenge kitu cha heshima

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Acheni kuongea kuongea kwa hisia .

Kagera ndo mkoa unazalisha asilimia 60 ya ndizi zote nchi hii.

Kilimanjaro na mbeya mnazalisha asilimia ndogo Sana hata mkiunganishwa hamfikii asilimia za mkoa wa kagera.
Acheni kuiangalia ndizi bukoba tu mkazani ndo pekeee zinalimwa bukoba [emoji23]

Bukoba kunalimwa aina zote za ndizi hata hizo ndizi Moshi . Ndizi bukoba zinalimwa wilaya moja ya muleba. Pengine ni aina nyingi za ndizi.

Tazama hiz report za serikali za uzalishaji wa ndizi.

Kagera ni 59.9%
Kilimanjaro 13%[emoji23]
Mbeya 6.6%
Mikoa mingine ndo wanashare asilimia zilozobaki[emoji23][emoji23]

Heshimu mkoa wa kagera kwa kuwalisha nyie wabongo.
Bado maharage,Sukari na vanilla

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Tena msingi tu balaa. Ila jaman watu wamejengaaa. Huku dar kubaya sana[emoji23][emoji23]
Siyo nikifa mukienda nizika muanze nisimanga. Lazima nijenge kitu cha heshima

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Cement bukoba ni 22k huko Moshi ni chini ya 14k Nina uhakika.

Bado gharama za misumari,bati nk bukoba vipo juu mno lakin watu wanajenga bado .

Kama huyu mmama. Hii ni nyumba yake ya kuishi

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Hatukatai kama mnazalisha 60% ila mnakula wenyewe, haziji kwenye masoko ya dar, arusha na mbeya.
 
Hatukatai kama mnazalisha 60% ila mnakula wenyewe, haziji kwenye masoko ya dar, arusha na mbeya.
Leta takwimu kwamba haziji dar

Wachaga wa siku hiz sijui mkoje mna maneno Sana Kama watu wa pwani[emoji23][emoji23]

Leta takwimu za serikali kwamba ndizi za bukoba hazifiki dar.
Yaan nyie mzalishe 13% na mbeya 6% na mseme mnalisha dar nzima as if nyie hamli hizo ndizi [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mnajifariji ukatoliki upo Bukoba kuanzia historia mpaka sasa hivi unaendelea, sijui kama huko Moshi mna kituo cha redio cha kanisa, vipi cathedral kama la Bukoba. Ukatoliki kwenu bado kwa Bukoba labda mpambane na Iringa au Songea huko
 
Hatukatai kama mnazalisha 60% ila mnakula wenyewe, haziji kwenye masoko ya dar, arusha na mbeya.
[emoji23][emoji23] aisee imenibidi nicheke, yaani meli inabeba kila siku kusambaza kanda ya ziwa yote bado mafuso yanabeba kuelekea kanda ya kati mpaka huko Dar
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Na bado kahawa 65 inatoka kagera
Vanilla 80%
Maharage 20%
Sukari 48%
Bado samaki na dagaa[emoji23]

Na mengine kibao.

Heshima kwa mkoa huu Lazima iwepo

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Hadi magimbi sa hivi wanayafuata Bukoba kutoka Dar, kwa ufupi Bukoba kuna kila kitu sasa hivi migodi yote kanda ya ziwa wanafuata nguzo kutoka huku fuso zinapishana kila siku, bado mbao zote kanda ya ziwa zinatoka Bukoba
 
Serikali ndo wanajua Siri za mkoa huu ndo magu kila mwaka alikuwa hakosi mkoa huu
Hadi alikuwa na Ranchi yake Kule karagwe

Bado ndo mkoa wenye ranch kubwa ya kitengule[emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Kilimo ambacho kilikuwa hakipo kwa Wahaya ni mpunga tu, lakini sa hivi wilaya zote za Wahaya wanalima mpunga kwa speed zote kuanzia muleba mpaka kyerwa
 
Serikali ndo wanajua Siri za mkoa huu ndo magu kila mwaka alikuwa hakosi mkoa huu
Hadi alikuwa na Ranchi yake Kule karagwe

Bado ndo mkoa wenye ranch kubwa ya kitengule[emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kabisa na hakuna ardhi ambayo haitumiki huku hata milima imepandwa miti ya mbao, kiufupi huku watu wanapiga kazi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Na bado kahawa 65 inatoka kagera
Vanilla 80%
Maharage 20%
Sukari 48%
Bado samaki na dagaa[emoji23]

Na mengine kibao.

Heshima kwa mkoa huu Lazima iwepo

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kwani njaa kwenu imeisha? Kama takwimu hizo ni zenu mkoa isingekuwa maskini
 
Kwani njaa kwenu imeisha? Kama takwimu hizo ni zenu mkoa isingekuwa maskini
Ulishawahi kusikia njaa uhayani [emoji23]

Nyie bakini na takwimu zenu . Watu wako wanapiga hela huku.

Hata mkoa ukiwa tajirri au maskini hakikisha wew una hela mzee

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…