Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Millard ni nani?
Ni muuza mitumba maarufu soko la Karume Dar....
Sasa kuna issue gani yeye kutoka na huyo Vanessa?
Vanessa ni Binti wa Mfalme wa Uholanzi,
Muuza mitumba kutoka na Binti Mfalme ni habari kubwa Mkuu.
Vanessa ni Binti wa Mfalme wa Uholanzi,
Muuza mitumba kutoka na Binti Mfalme ni habari kubwa Mkuu.
Ni muuza mitumba maarufu soko la Karume Dar....
ooh my Man Gang Chomba are u back? ndio maana leo nimeamka na full upako kumbe ni ishara ya kukutana na mtu tuliyepoteana kitambo?
Heaven on Earth njoo umuamkie ankal wako amerejea jukwaani. sema shikamoo ankal G.
mbona hao wameanza kitambo...nakumbuka kipindi nipo chuo nilikua nimepanga nyumba moja na millard...basi mtoto vanesa alikua anakuja sana kupigwa show na millard...wameanza kitambo sana
Vanessa ni Binti wa Mfalme wa Uholanzi,
Muuza mitumba kutoka na Binti Mfalme ni habari kubwa Mkuu.
mbona hao wameanza kitambo...nakumbuka kipindi nipo chuo nilikua nimepanga nyumba moja na millard...basi mtoto vanesa alikua anakuja sana kupigwa show na millard...wameanza kitambo sana
Ni muuza mitumba maarufu soko la Karume Dar....
kama huwezi umbea usianzishe thread, thread uanzishe wewe taarifa tukupe siye hivi haya si majanga jamani?
hii ndoo comment ya mwisho kuisoma siendelei tena kwenye huu uzi maana umenena vyemakama huwezi umbea usianzishe thread, thread uanzishe wewe taarifa tukupe siye hivi haya si majanga jamani?