Kunani kati ya Millard Ayo na Vanessa Mdee?

Kunani kati ya Millard Ayo na Vanessa Mdee?

Kama ni kwel wanaendana jaman kwa upande wangu nawatakia kheri.
 
mbona hao wameanza kitambo...nakumbuka kipindi nipo chuo nilikua nimepanga nyumba moja na millard...basi mtoto vanesa alikua anakuja sana kupigwa show na millard...wameanza kitambo sana
 
mbona hao wameanza kitambo...nakumbuka kipindi nipo chuo nilikua nimepanga nyumba moja na millard...basi mtoto vanesa alikua anakuja sana kupigwa show na millard...wameanza kitambo sana

acha ujinga wewe kujifanya unawajua watu kwenye mitandao ya kijamii utatolewa posa mtoto wa kiume!
 
Vanessa ni Binti wa Mfalme wa Uholanzi,
Muuza mitumba kutoka na Binti Mfalme ni habari kubwa Mkuu.

Really? I thought always penzi linawahusuu wahusika kwani wenyewe wakipendana watu wa nje waseme na wasiseme usiku utafika na watalala. Kama mfakme kakubali mwanaye atoke na muuza mitumba then kwanini watu wahoji?
 
mbona hao wameanza kitambo...nakumbuka kipindi nipo chuo nilikua nimepanga nyumba moja na millard...basi mtoto vanesa alikua anakuja sana kupigwa show na millard...wameanza kitambo sana

Mtoto wa kiume wewe...utapakatwa???
 
Mbona millard ayo alishawahi andika katika page yake ya fb kuwa vanessa mdee ndyo mpenz wake.. Tena zamani sana
 
kama huwezi umbea usianzishe thread, thread uanzishe wewe taarifa tukupe siye hivi haya si majanga jamani?
hii ndoo comment ya mwisho kuisoma siendelei tena kwenye huu uzi maana umenena vyema
 
Back
Top Bottom