Kunani kati ya Millard Ayo na Vanessa Mdee?

Kunani kati ya Millard Ayo na Vanessa Mdee?

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,782
Reaction score
3,199
Wakuu,

Watu wa karibu wa huyu ndugu yetu Millard Ayo wanadai ndio anamiliki mtoto Vanesa Mdee.

Wameonekana sehemu nyingi pamoja, hata interview anazofanyiwa Vanesa na Millard zinaashiria kitu flani kati yao.

Mwenye taarifa zaidi atumwagie.

cc. Gossip, warumi
 
Last edited by a moderator:
wakuu
watu wa karibu wa uyu ndugu yetu millardayo wanadai ndio ana mliki mtoto vanesa mdee
wameonekana sehemu nyingi pamoja ata inteview anazofanyiwa vanesa na millard zinaashiria kitu flani kati yao
mwenye taarifa zaidi atu mwagie
cc..gossipwarumi

kama huwezi umbea usianzishe thread, thread uanzishe wewe taarifa tukupe siye hivi haya si majanga jamani?
 
ktk yao kuna clouds fm
 
Ngoja nkujibie...vee na ayo ni wapenzi wa chinichini...!!
 
Yawatu yanakuhusu nini dumezima kufuatilia ya watu yako yashakushinda.
 
Vanessa mwanamke na millard mwanamme na wote wapo kituo kimoja kwahiyo lolote linawezekana sio ajabu.
 
wakuu
watu wa karibu wa uyu ndugu yetu millardayo wanadai ndio ana mliki mtoto vanesa mdee
wameonekana sehemu nyingi pamoja ata inteview anazofanyiwa vanesa na millard zinaashiria kitu flani kati yao
mwenye taarifa zaidi atu mwagie
cc..gossipwarumi

teh teh umbea ni kama uharo...kuubana huwezi...
 
kama huwezi umbea usianzishe thread, thread uanzishe wewe taarifa tukupe siye hivi haya si majanga jamani?

Aisee kweli. Yaani mimba ya mwengine kichefuchefu ukipate wewe.
 
Back
Top Bottom