Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Wako kimya kimya nje ya JF 😜😜😜
Mimi si mbea kiasi hicho kama warumi (Mungu amtangulie) ila mimi ni kidogo sana
Mwanzo nilikuwa nimezoea kuona mdau wetu mstaarabu kuwahi kutokea humu ndani aitwaye Smart911 akiwa anamtaja mwana dada/mama(sina uhakika kipengele cha mama) mahondaw kwa kila comment.

Lakini sasa ni mda sioni smart911 akimtaja mahondaw.
Je, nini kimetokea? Maana walisha leta na shuhuda jinsi walivyokuwa wameoatana au ndio kila chenye mwanzo hakikosi mwisho?

Mfumo wa comment pendwa ya ndugu yetu mwana JF mpole, mtiifu na asiye na makuu ni hii.

"Ngoja waje kukupa mwongozo
Cc mahondaw "

Hiyo kama mtoa mada haujapata majibu.
Ika kama umepata majibu atacomment.

"Natumaini umepata mwongozo
Cc mahondaw "

Tumekumbika hivi vitu mbona siku hizi sioni?

Nategemea wote smart911 na mahondaw waje kutupa mwongozo.

Is me Dead Man
 
Wasalimie kuzimu.
 
Rejea
Ukiona mwanamke anajibebisha hivi,mwanaume shtuka....inawezekana kuna usaliti pembeni unafanyika
 
Back
Top Bottom