Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Mimi si mbea kiasi hicho kama warumi (Mungu amtangulie) ila mimi ni kidogo sana
Mwanzo nilikuwa nimezoea kuona mdau wetu mstaarabu kuwahi kutokea humu ndani aitwaye Smart911 akiwa anamtaja mwana dada/mama(sina uhakika kipengele cha mama) mahondaw kwa kila comment.

Lakini sasa ni mda sioni smart911 akimtaja mahondaw.
Je, nini kimetokea? Maana walisha leta na shuhuda jinsi walivyokuwa wameoatana au ndio kila chenye mwanzo hakikosi mwisho?

Mfumo wa comment pendwa ya ndugu yetu mwana JF mpole, mtiifu na asiye na makuu ni hii.

"Ngoja waje kukupa mwongozo
Cc mahondaw "

Hiyo kama mtoa mada haujapata majibu.
Ika kama umepata majibu atacomment.

"Natumaini umepata mwongozo
Cc mahondaw "


Tumekumbika hivi vitu mbona siku hizi sioni?

Nategemea wote smart911 na mahondaw waje kutupa mwongozo.

Is me Dead Man
Hivi Warumi amefariki? Niliona rip kwenye uzi fulani.
 
Rejea
Jamaa alikuwa analishwa mbususu ya mke wa mjeda alie mission huko Kati

Ana bahati Sana mjeda angekujua angefumua ubongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila wanawake ni hatari[emoji1787][emoji1787]
 
Futa tu simple kwani wakati na comment nilitoa taarifa? Dead man or Dead mind
Basi nakupa nafasi ya upendeleo sita futa ila usiweke comment za namna hii jukwaani.
Wanasema bora kukaa kimya
 
Basi nakupa nafasi ya upendeleo sita futa ila usiweke comment za namna hii jukwaani.
Wanasema bora kukaa kimya
😂😂😂😂😂 Haya mkuu we endelea na utafiti wako bhn ila Asante kwa nafasi ya upendeleo
 
Back
Top Bottom