Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hivi siku hizi naye atumia id gani[emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mke wa mganga umemuweka msukule nini. Mbona haonekan kabisa jaman
Asante kwa kunijuza itakuwa ulinipita huo uzi.
Itapendeza ukibahatika kushare hapa huo uzi (Endapo ukiupata)
Yaliyopita usiku yalikataa kuchotwaJaribu kutupatia intro ilikuwaje? Na ni nani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nawe uliingia choo cha shule msingi mkuu, maisha haya[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naye uliingia choo cha ahule msingi mkuu, maisha haya[emoji38][emoji38][emoji38]
Wa kutosha...!Dah ndio tunakosa uhondo kihivyo
Mkuu umegeuka bubu imebaki kujicheka tu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Bado sijapata majibu.
Hizo za wadau ni tetesi tu ndio maana hawajaleta uzi husika
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana
Sikubahatika kuusoma/kuuonaHujasoma bibiye aliweka uzi wake hapa kwamba yeye ni mama wa watoto wawili na ni mke wa mjeda...
Unless kama unataka tumlengeshe mjeda kwamba Dead Man ndio Smart aje akufumue medula oblongata...
Demiss ?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mke wa mganga umemuweka msukule nini. Mbona haonekan kabisa jaman
Sikubahatika kuusoma/kuuona
Labda ukiupata nivutie niusome
Ngoja nianze kuusaka sema ID yake ame limit hapo ingerahisisha upakuaji wa mada zake.
Shukurani kwa marejeo ngoja nipitieHaya soma huku, nimekuwekea kwa sababu moja tu kuwa thread yake aliifanya public....
Post in thread 'Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi' Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi
Nimesoma nimeielewa aiseeHaya soma huku, nimekuwekea kwa sababu moja tu kuwa thread yake aliifanya public....
Post in thread 'Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi' Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi