Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Kama kuna kuzaliwa basi na kufa kupo.tuendelee na mjadala mama keshajitangazia mapema kutaka kugombea uraisi 2025
Hatumuchaguwi hata watupige watuuwe hatumuchaguwi.

NB: mimi nina damu yenye uCCM
 
Mbona wanadai ilikuwa Mtu mbili ndani ya track moja,yani mtu mmoja style mbili!?
 
Hajasikikie ngoja nikusaidie kumuita

Yaani walifanya kumzunguka walipojua wakamshawishi aache uganga, akakubali na wateja wote akawaachia wapenzi wake heee kuja kushtuka mzee wetu anaona bora arudi zake kuendelea na fani yake usimwamini mwanamke , unaona delila aliyomfanyia samsoni, eva aliyomfanyia adam ni balaa
 
🤣🤣🤣 Hatari sana
Eti Mshana Jr haya ni kweli?
 
Back
Top Bottom