Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Nimesoma nimeielewa aisee
Safi, thread closed!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma nimeielewa aisee
Nahisi jamaa alikua mhongaji mzuri na alikua baharia.Rejea
Just to appreciate you Smart911
Ever since I met you, my life has been on the upturn. There’s a positive shift happening, and I know that it has something to do with you. You bring out the best in me. No one else can bring me so much happiness the way you do. It’s a kind of love that I’ve never felt before. You have given me...www.jamiiforums.com
Happy 3rd anniversary Smart911 sweetheart
It was this day uliniboa kupita kawaida wee mwanaume yani ulinikeraaa sio kitoto sijui hata nilikukoseaga nini tarehe hii ya leo ya mwaka 2017 . Sijui ulikurupuka toka wapi huko sijui ulivurugwa nanini huko mpaka Ukanivamia na kunitibua vuz zote kwenye uzi wangu m paka nikawazaaaa nisipate jibu...www.jamiiforums.com
Happy birthday sweet to too Smart911
Today is a special day to me as its my suitor's birthday. I'm so grateful to God for blessing me a man like you Smart911. You are the love of my life smart I love you sweetbebee .Happy birthday sweetie.www.jamiiforums.com
Happy anniversary to us Smart911 & mahondaw
PRAAAIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIISSS THE LORD!!!!!! It was mwaka jana tarehe kama ya leo kwenye uzi wangu uleeee. Rafiki yangu bado ananiumiza sana Ndipo nilipokutana na kijana mmoja hendisamu mtanashati hatariiiiiii. We argued alot katika ule uzi yanii from nowhere tu mpaka nikawaza huyu kaka...www.jamiiforums.com
New kapoMimi si mbea kiasi hicho kama warumi (Mungu amtangulie) ila mimi ni kidogo sana
Mwanzo nilikuwa nimezoea kuona mdau wetu mstaarabu kuwahi kutokea humu ndani aitwaye Smart911 akiwa anamtaja mwana dada/mama(sina uhakika kipengele cha mama) mahondaw kwa kila comment.
Lakini sasa ni mda sioni smart911 akimtaja mahondaw.
Je, nini kimetokea? Maana walisha leta na shuhuda jinsi walivyokuwa wameoatana au ndio kila chenye mwanzo hakikosi mwisho?
Mfumo wa comment pendwa ya ndugu yetu mwana JF mpole, mtiifu na asiye na makuu ni hii.
"Ngoja waje kukupa mwongozo
Cc mahondaw "
Hiyo kama mtoa mada haujapata majibu.
Ika kama umepata majibu atacomment.
"Natumaini umepata mwongozo
Cc mahondaw "
Tumekumbika hivi vitu mbona siku hizi sioni?
Nategemea wote smart911 na mahondaw waje kutupa mwongozo.
Is me Dead Man
Demis daah ila ulifaidi mzee wa kinyeoEnzi zangu na ..dah..[emoji23]....!
[emoji86][emoji86][emoji86]Mkuu umegeuka bubu imebaki kujicheka tu[emoji1][emoji1][emoji1]
Ila nadhani haikuwa kweli kabisa... Ilikuwa ni namna tu ya kukwepesha ukweliHaya soma huku, nimekuwekea kwa sababu moja tu kuwa thread yake aliifanya public....
Post in thread 'Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi' Happy birthday mahondaw. Mwenye swali kuhusu mimi
[emoji2995][emoji2995][emoji1550][emoji1550][emoji39][emoji23] mimi nimeokokaDemis daah ila ulifaidi mzee wa kinyeo
Duuuh....! Humu kumbe kuna mambo?Mbona waliachana kitambo baada ya fumanizi mkuu?
Smart alikuwa anamwaga hela kwa Mahonda kama njugu, kumbe bibie anaruka vijoti nje. hukuona mpaka uzi ulianzishwa hapa?
Bado sijapata majibu.
Hizo za wadau ni tetesi tu ndio maana hawajaleta uzi husika
Huoni 2021 May hata hakumtakia Happy Birthday Mahondaw Wake?Bado sijapata majibu.
Hizo za wadau ni tetesi tu ndio maana hawajaleta uzi husika
Ila nadhani haikuwa kweli kabisa... Ilikuwa ni namna tu ya kukwepesha ukweli
Nasikitika kuona smart kasoma uzi ila hata hajachangia.
Ngoja tusubiri mchango kutoka kwa mahondaw
Hujasoma bibiye aliweka uzi wake hapa kwamba yeye ni mama wa watoto wawili na ni mke wa mjeda...
Unless kama unataka tumlengeshe mjeda kwamba Dead Man ndio Smart aje akufumue medula oblongata...