Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Kunani kati ya Smart911 na Mahondaw?

Mbona waliachana kitambo baada ya fumanizi mkuu?
Smart alikuwa anamwaga hela kwa Mahonda kama njugu, kumbe bibie anaruka vijoti nje. hukuona mpaka uzi ulianzishwa hapa?
Alaa walikuwa wanalakachuana hawa
 
Yaani walifanya kumzunguka walipojua wakamshawishi aache uganga, akakubali na wateja wote akawaachia wapenzi wake heee kuja kushtuka mzee wetu anaona bora arudi zake kuendelea na fani yake usimwamini mwanamke , unaona delila aliyomfanyia samsoni, eva aliyomfanyia adam ni balaa
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]HAHAHHAAA
 
Back
Top Bottom