Arch Barrel
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 434
- 1,126
Habari za asubuhi wakuu. Huu ni mwezi 3, Makandarasi wengi hawajalipwa hela zao, kibaya zaidi wamekaa kimya na hawatoi taarifa yoyote kwa makandarasi, mbaya zaidi kesho ndio mwisho wa mwaka baada ya hapo waatafunga mifumo yao ya malipo, lakn bado wanaendelea kuhimiza makandarasi wafanye kazi.
Wakuu kama kuna mwenye taarifa na huu ukimya hebu tusaidiane ili angalau tupate mwongozo
Wakuu kama kuna mwenye taarifa na huu ukimya hebu tusaidiane ili angalau tupate mwongozo