Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana.
Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya.
Mpira unachezwa Ulaya wewe kenge unashindwa kula huku eti naumia nimefungwa.
Hata Kenya haujawahi kufika leo hii unaumia kisa Arsenal ya Uingereza imefungwa
Maskini shetani kaiba ufahamu wako.
Eti kijana hata laki 5 ya pamoja hajawahi kuikamata leo hii anamtambia mwenzake kuwa kamnunua Messi (billionaire).
Mashabiki wa soka acheni ujinga.
Huko Ulaya hawahangahiki na vitimu vyenu nyie ligi kuu ya Ulaya ikianza nyumbani munarudi saa 7 usiku.
Wake zenu mnawaachia bodaboda.