MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Tayari mvi zimetanda kichwaKwahiyo ushapaka rangi kichwani!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari mvi zimetanda kichwaKwahiyo ushapaka rangi kichwani!?
Hobby nyingine bhana ni majanga tupu. Unanufaikaje hapo??😌Wewe mbona unapenda kwaya za kisabato hatukufatilii tulia mzee kila mtu na hobby yake!!
Ni sawa, lakini uangalie pia na aina ya burudani unayojitumbukizamo. Burudani gani vijana hawafanyi shughuli ya kuingiza walau senti mfukoni au kujiongezea afya bali wanatumia au kupoteza muda saa za kufanya kazi/shughuli za kiuchumi ?kwenye maisha kuna burudani tofauti tofauti michezo,muziki,kula bata n,k na kila burudani kuna walevi wa burudani husika.
kuna watu walizimia na wakalazwa hospitali kisa Michael Jackson.tena wazungu tunaoambiwa akili kubwa.
Hao wote unaowaona Huko Kwa manabii, uwanjani na mikutano ya siasa ndiyo haohao usifikiri kuna kundi tofauti....Leo wakija chadema wanaenda kujaa na kesho wakija CCM wataenda tena kujaa na keshokutwa akija diamond watafurika na keshoyake akija alli kiba watajaa kama kawaida.Na vipi mashabiki wa manabii kama kina Mwamposa?
sio kweli ni maneno yako tu unapaka matope.akuna burudani ya bure wahusika wanatenga muda wa burudani na wa kazi,na maisha yanasonga.Ni sawa, lakini uangalie pia na aina ya burudani unayojitumbukizamo. Burudani gani vijana hawafanyi shughuli ya kuingiza walau senti mfukoni au kujiongezea afya bali wanatumia au kupoteza muda saa za kufanya kazi/shughuli za kiuchumi ?
Nywele kama glamaksonSasa mtu anashawishiwa kuweka nywele roundup kama vile unataka kukausha nyasi shambani. Hivi sijui itakuaje siku hiyo😂😂😂😂
Basi mkuu ujue hapo kuna Walakini kwa kuwa muda wa burudani watu wengi huuweka kuwa ni jioni(Magharibi) na sio muda wa asubuhi saa 2-5. Ni kweli Burudani ni muhimu ila sio kipaumbele asubuhi.sio kweli ni maneno yako tu unapaka matope.akuna burudani ya bure wahusika wanatenga muda wa burudani na wa kazi,na maisha yanasonga.
ni tofauti na wanaoshinda nyumba za ibada kutwa nzima wanaimba awafanyi kazi ni kumbwela tu.
Umewakataza kushabikia ULAYA, unawananga kushabikia Timu za Tanzania .Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana.
Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya.
Mpira unachezwa Ulaya wewe kenge unashindwa kula huku eti naumia nimefungwa.
Hata Kenya haujawahi kufika leo hii unaumia kisa Arsenal ya Uingereza imefungwa
Maskini shetani kaiba ufahamu wako.
Eti kijana hata laki 5 ya pamoja hajawahi kuikamata leo hii anamtambia mwenzake kuwa kamnunua Messi (billionaire).
Mashabiki wa soka acheni ujinga.
Huko Ulaya hawahangahiki na vitimu vyenu nyie ligi kuu ya Ulaya ikianza nyumbani munarudi saa 7 usiku.
Wake zenu mnawaachia bodaboda.
Nimeshaanza kukupendaWajinga wengine ni wale wanaosumbuka na mambo yasiyo wahusu. Mtoa mada huchomoki hapo
Wewe pia unaongeza idadi ya wale wenye magonjwa ya AKILI...Nilitaka niwaite wapumbavu lakini naona litakuwa neno kali sana.
Hivi mtu anapokea mshahara kuhamasisha watu waingie kwa wingi uwanjani anakushawishi ukunje kaptura eti kumuenzi mchezaji mpira (mwajiriwa) na wewe na uzuzu wako unakunja, Jumamosi wameambiwa wapake bleach kichwani, watafanya.
Mpira unachezwa Ulaya wewe kenge unashindwa kula huku eti naumia nimefungwa.
Hata Kenya haujawahi kufika leo hii unaumia kisa Arsenal ya Uingereza imefungwa
Maskini shetani kaiba ufahamu wako.
Eti kijana hata laki 5 ya pamoja hajawahi kuikamata leo hii anamtambia mwenzake kuwa kamnunua Messi (billionaire).
Mashabiki wa soka acheni ujinga.
Huko Ulaya hawahangahiki na vitimu vyenu nyie ligi kuu ya Ulaya ikianza nyumbani munarudi saa 7 usiku.
Wake zenu mnawaachia bodaboda.
Mpira wa miguu ni usheitwani aiseeEti mtu anakosa penalti kuna mtu anadondoka mpaka anapoteza uhai