Kweli kabisa mkuu ila sijajua kwanini makundi yanapotea na yanakufa uku mashabiki wakiwa wapo kwenye pick.Hakuna aijuaye kesho mkuu na ogopa sana kuitabiri kesho yako pia kuna msemo maarufu unasema kwamba usimuhaidi mtu pesa wakati hujazishika mkononi so the mafik watabaki kuwa the mafik kwa mauwezo yao na yamoto watabaki kuwa yamoto kwa mauwezo yao
Je huo wimbo ni mzuri au ni mbaya?Litakuwa kundi RUGE na CLOUDS wanataka kulipaisha kwani wiki nzima huo wimbo wao wa PASSENGER wanaupiga kwenye vipindi vyao
Propaganda za biashara ya mziki hizo huwezi ukapiga wimbo mmoja katika kila kipindi kwa wiki nzima wakati kuna nyimbo zaidi ya elfu moja.huwezi ukaniambia eti kwasababu keki ni tamu nile asub,mchana ,jioni na usiku kwa wiki nzimaJe huo wimbo ni mzuri au ni mbaya?
Kama ni mzuri kuna tatizo gani ukipigwa maana lengo si watu wanataka kupigiwa mziki mzuri...
Ruge ana moyo wa chuma si kwa kila tuhuma anapewa hata zisizo na ushahidi
Inawezekana tu mbona wimbo ukiwa mzuri unauweka auto replay. Wimbo siyo chakula unaweza usikiliza hata mara 50 kwa siku.Propaganda za biashara ya mziki hizo huwezi ukapiga wimbo mmoja katika kila kipindi kwa wiki nzima wakati kuna nyimbo zaidi ya elfu moja.huwezi ukaniambia eti kwasababu keki ni tamu nile asub,mchana ,jioni na usiku kwa wiki nzima
Acha kukaririKwa AC Milan hiyo Arsenal angerowa 5
Litakuwa kundi RUGE na CLOUDS wanataka kulipaisha kwani wiki nzima huo wimbo wao wa PASSENGER wanaupiga kwenye vipindi vyao
Nahisi ndio anaitwa Ahmadia, maana yule mfupi anaitwa Mbalamwezi na aliyeimba verse ya kifaransa anaitwa Rynho King.Yule dogo aliefanya verse ya kwanza ni product ya THT kama sikosei na aliwahi kufanya kazi kama solo artist ila akutoboa.
Simply Passenger ni wimbo poa sana hata mimi naweka repeat mara kibao tu nimesikia wana ngoma ya pili ila sijui inaitwaje,tatizo la kundi ni maslahi na tamaa nawaza tu yule dogo wa verse ya kwanza soon washika dau watamvimbisha kichwa kua anaweza kusimama mwenyewe hapo ndipo balaa linaanzia.