Kundi la muziki the Mafik

Kundi la muziki the Mafik

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
14,244
Reaction score
10,073
Salaam

Kuna ili kundi la muziki la kizazi kipya linajulikana kama THE MAFIK kwa mara ya kwanza niliwaona wakipiga live(siyo playback) pale Zanzibar na limekuja kwa kasi kuteka mashabiki wa muziki na hit song yao Inajulikana kama PASSENGER.

Je ili kundi litakuwa mbadala wa YAMOTO BAND?

Na mwenye kulijua ili kundi anaweza kujazia jazia nyama kwa faida ya wote.

Mtanisamehe nimeshindwa ku attach audio ya wimbo wao unaomtambulika kama PASSENGER wakuu.
 
Hakuna aijuaye kesho mkuu na ogopa sana kuitabiri kesho yako pia kuna msemo maarufu unasema kwamba usimuhaidi mtu pesa wakati hujazishika mkononi so the mafik watabaki kuwa the mafik kwa mauwezo yao na yamoto watabaki kuwa yamoto kwa mauwezo yao
 
Kweli kabisa mkuu ila sijajua kwanini makundi yanapotea na yanakufa uku mashabiki wakiwa wapo kwenye pick.
 
Litakuwa kundi RUGE na CLOUDS wanataka kulipaisha kwani wiki nzima huo wimbo wao wa PASSENGER wanaupiga kwenye vipindi vyao
 
Litakuwa kundi RUGE na CLOUDS wanataka kulipaisha kwani wiki nzima huo wimbo wao wa PASSENGER wanaupiga kwenye vipindi vyao
Je huo wimbo ni mzuri au ni mbaya?
Kama ni mzuri kuna tatizo gani ukipigwa maana lengo si watu wanataka kupigiwa mziki mzuri...
Ruge ana moyo wa chuma si kwa kila tuhuma anapewa hata zisizo na ushahidi
 
Je huo wimbo ni mzuri au ni mbaya?
Kama ni mzuri kuna tatizo gani ukipigwa maana lengo si watu wanataka kupigiwa mziki mzuri...
Ruge ana moyo wa chuma si kwa kila tuhuma anapewa hata zisizo na ushahidi
Propaganda za biashara ya mziki hizo huwezi ukapiga wimbo mmoja katika kila kipindi kwa wiki nzima wakati kuna nyimbo zaidi ya elfu moja.huwezi ukaniambia eti kwasababu keki ni tamu nile asub,mchana ,jioni na usiku kwa wiki nzima
 
Inawezekana tu mbona wimbo ukiwa mzuri unauweka auto replay. Wimbo siyo chakula unaweza usikiliza hata mara 50 kwa siku.
Anyway kila redio wana nyimbo wanazopenda kuzipiga yani unakuta playlist ni ile ile kwa week au mwezi ikibadirika ni kidogo tu.
Na siyo vibaya kukuza band flani kwa kuioa promo as long as wanaimba mziki mzuri.
Ukweli ni kwamba ukisema wapige nyimbo za wasanii bila kurudia ni ngumu kutengeneza msanii mpya atakayewika ukiona undeground kawika jua alipewa promo na ndiyo maana kuna neno promo
 
Yule dogo aliefanya verse ya kwanza ni product ya THT kama sikosei na aliwahi kufanya kazi kama solo artist ila akutoboa.
Simply Passenger ni wimbo poa sana hata mimi naweka repeat mara kibao tu nimesikia wana ngoma ya pili ila sijui inaitwaje,tatizo la kundi ni maslahi na tamaa nawaza tu yule dogo wa verse ya kwanza soon washika dau watamvimbisha kichwa kua anaweza kusimama mwenyewe hapo ndipo balaa linaanzia.
 
Kuna modo mmoja humo hajanyoa vuzi za kwapa. .ukichek hyo video yan kwapa jeusi. Kanikera mnoo..japo vijana wameimba vizuri
 
Yule dogo aliefanya verse ya kwanza ni product ya THT kama sikosei na aliwahi kufanya kazi kama solo artist ila akutoboa.
Simply Passenger ni wimbo poa sana hata mimi naweka repeat mara kibao tu nimesikia wana ngoma ya pili ila sijui inaitwaje,tatizo la kundi ni maslahi na tamaa nawaza tu yule dogo wa verse ya kwanza soon washika dau watamvimbisha kichwa kua anaweza kusimama mwenyewe hapo ndipo balaa linaanzia.
Nahisi ndio anaitwa Ahmadia, maana yule mfupi anaitwa Mbalamwezi na aliyeimba verse ya kifaransa anaitwa Rynho King.

Wametoa wimbo mwingine unaitwa Carola mkuu.
 
Back
Top Bottom