misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Salaam
Kuna ili kundi la muziki la kizazi kipya linajulikana kama THE MAFIK kwa mara ya kwanza niliwaona wakipiga live(siyo playback) pale Zanzibar na limekuja kwa kasi kuteka mashabiki wa muziki na hit song yao Inajulikana kama PASSENGER.
Je ili kundi litakuwa mbadala wa YAMOTO BAND?
Na mwenye kulijua ili kundi anaweza kujazia jazia nyama kwa faida ya wote.
Mtanisamehe nimeshindwa ku attach audio ya wimbo wao unaomtambulika kama PASSENGER wakuu.