Kundi la muziki the Mafik

Kundi la The MAFIK , vijana wako vizuri sana ila wasibweteke tu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Usisahau kusema yule Dogo ndo alikua ana mkaza Shilole kabla ya uchebe,jina lake limenitoka dogo anajua sana kuimba na live band..
 
Nahisi ndio anaitwa Ahmadia, maana yule mfupi anaitwa Mbalamwezi na aliyeimba verse ya kifaransa anaitwa Rynho King.

Wametoa wimbo mwingine unaitwa Carola mkuu.
Hamadai....Kamkaza sana shishi bebe,kabla uchebe hajakamatia goma.
 
Kabisa mkuu.

Na wame release singo mpya inaitwa Carola.
nimeshaisikia ndio maana nimesema wako vizuri maana nilikuwa nasubiri watoe mwingine niwaangalie sasa nimewapitisha
 
Usisahau kusema yule Dogo ndo alikua ana mkaza Shilole kabla ya uchebe,jina lake limenitoka dogo anajua sana kuimba na live band..
Alaaaaaaaa....!!kumbe ndivyo ilivyokua basi Shishi kawaburuza aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…