Kundi la muziki the Mafik

Kundi la muziki the Mafik

Kundi la The MAFIK , vijana wako vizuri sana ila wasibweteke tu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yule dogo aliefanya verse ya kwanza ni product ya THT kama sikosei na aliwahi kufanya kazi kama solo artist ila akutoboa.
Simply Passenger ni wimbo poa sana hata mimi naweka repeat mara kibao tu nimesikia wana ngoma ya pili ila sijui inaitwaje,tatizo la kundi ni maslahi na tamaa nawaza tu yule dogo wa verse ya kwanza soon washika dau watamvimbisha kichwa kua anaweza kusimama mwenyewe hapo ndipo balaa linaanzia.
Usisahau kusema yule Dogo ndo alikua ana mkaza Shilole kabla ya uchebe,jina lake limenitoka dogo anajua sana kuimba na live band..
 
Nahisi ndio anaitwa Ahmadia, maana yule mfupi anaitwa Mbalamwezi na aliyeimba verse ya kifaransa anaitwa Rynho King.

Wametoa wimbo mwingine unaitwa Carola mkuu.
Hamadai....Kamkaza sana shishi bebe,kabla uchebe hajakamatia goma.
 
Kabisa mkuu.

Na wame release singo mpya inaitwa Carola.
nimeshaisikia ndio maana nimesema wako vizuri maana nilikuwa nasubiri watoe mwingine niwaangalie sasa nimewapitisha
 
Usisahau kusema yule Dogo ndo alikua ana mkaza Shilole kabla ya uchebe,jina lake limenitoka dogo anajua sana kuimba na live band..
Alaaaaaaaa....!!kumbe ndivyo ilivyokua basi Shishi kawaburuza aiseeeee
 
Back
Top Bottom