Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe na ww ni CIAKuna modo mmoja humo hajanyoa vuzi za kwapa. .ukichek hyo video yan kwapa jeusi. Kanikera mnoo..japo vijana wameimba vizuri
Usisahau kusema yule Dogo ndo alikua ana mkaza Shilole kabla ya uchebe,jina lake limenitoka dogo anajua sana kuimba na live band..Yule dogo aliefanya verse ya kwanza ni product ya THT kama sikosei na aliwahi kufanya kazi kama solo artist ila akutoboa.
Simply Passenger ni wimbo poa sana hata mimi naweka repeat mara kibao tu nimesikia wana ngoma ya pili ila sijui inaitwaje,tatizo la kundi ni maslahi na tamaa nawaza tu yule dogo wa verse ya kwanza soon washika dau watamvimbisha kichwa kua anaweza kusimama mwenyewe hapo ndipo balaa linaanzia.
Hamadai....Kamkaza sana shishi bebe,kabla uchebe hajakamatia goma.Nahisi ndio anaitwa Ahmadia, maana yule mfupi anaitwa Mbalamwezi na aliyeimba verse ya kifaransa anaitwa Rynho King.
Wametoa wimbo mwingine unaitwa Carola mkuu.
nimeshaisikia ndio maana nimesema wako vizuri maana nilikuwa nasubiri watoe mwingine niwaangalie sasa nimewapitishaKabisa mkuu.
Na wame release singo mpya inaitwa Carola.
Acha unaa, the man behind hili kundi ni ShettaLitakuwa kundi RUGE na CLOUDS wanataka kulipaisha kwani wiki nzima huo wimbo wao wa PASSENGER wanaupiga kwenye vipindi vyao
Alaaaaaaaa....!!kumbe ndivyo ilivyokua basi Shishi kawaburuza aiseeeeeUsisahau kusema yule Dogo ndo alikua ana mkaza Shilole kabla ya uchebe,jina lake limenitoka dogo anajua sana kuimba na live band..