Kundi la Simba last season timu zote zimetolewa, je simba nao kufuata mkumbo huo leo?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Hebu tujionee wenyewe.
 
Attachments

  • FB_IMG_1696137047823.jpg
    FB_IMG_1696137047823.jpg
    52.2 KB · Views: 2
Unaahiriki vipi bila kupata nafasi? Si vibonde hao?

Au mmesahau timu zilizokutana na Yanga kwenye msimamo wa ligi zao kama walikuwa chini mliwaita vibonde?

Sasa msubiri leo kuungana na vibonde wenzenu, ni swala la muda tu

Unaahiriki vipi bila kupata nafasi? Si vibonde hao?

Au mmesahau timu zilizokutana na Yanga kwenye msimamo wa ligi zao kama walikuwa chini mliwaita vibonde?

Sasa msubiri leo kuungana na vibonde wenzenu, ni swala la muda tu.
Dk unanipa mashaka sio siri!!!
 
Unaahiriki vipi bila kupata nafasi? Si vibonde hao?

Au mmesahau timu zilizokutana na Yanga kwenye msimamo wa ligi zao kama walikuwa chini mliwaita vibonde?

Sasa msubiri leo kuungana na vibonde wenzenu, ni swala la muda tu.
Niufwala kujipa matumaini eti mnyama leo atafurushwa mashindanoni.
 
UTOTO Raha sana.

Mnaleta Hadi umu Ushindani na UTOTO WA Simba na yanga.

Nilitegemea Mnisaidie Kusikitika
Kwamba Leo Simba na Yanga wanachezea AZAM COMPLEX.

NISAIDIENI KUSIKITIKA KWANINI SIMBA NA YANGA WAMEKOSA VIWANJA VYAO HADI KWENDA KUCHEZA KWENYE KIWANJA CHA TIMU HAINA HATA MIAKA 15
 
Back
Top Bottom