Kundi la Simba last season timu zote zimetolewa, je simba nao kufuata mkumbo huo leo?

Kundi la Simba last season timu zote zimetolewa, je simba nao kufuata mkumbo huo leo?

Hapo utopolo anawatamani jwaneng Galax na medeama ila waambieni hatokutana nao kundi moja kwasababu atakua nao pot namba 4 au unaweza ita pot la vibonde.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Yanga haiwezi kua kwenye pot 4. Itakua 3.
Yanga ipo nafasi ya 18 kwa ranks za CAF.(CAF 5 Years Ranking)
Ili awe pot 4 ni lazima timu 12 kati ya 15 zitakazoingia makundi pamoja nae ziwe zimeizidi rank kitu ambacho ni impossible maana 6 tayari hazimo.
Raja
Zamalek
JS Kabylie
Horoya
USM Alger
Orlando Pitates
 
Unaahiriki vipi bila kupata nafasi? Si vibonde hao?

Au mmesahau timu zilizokutana na Yanga kwenye msimamo wa ligi zao kama walikuwa chini mliwaita vibonde?

Sasa msubiri leo kuungana na vibonde wenzenu, ni swala la muda tu.
JF waitoe mara moja hiyo PhD
 
Acha utabiri binti ukiwa na mimba
 
Attachments

  • FB_IMG_1696220942875.jpg
    FB_IMG_1696220942875.jpg
    28.1 KB · Views: 2
Yanga haiwezi kua kwenye pot 4. Itakua 3.
Yanga ipo nafasi ya 18 kwa ranks za CAF.(CAF 5 Years Ranking)
Ili awe pot 4 ni lazima timu 12 kati ya 15 zitakazoingia makundi pamoja nae ziwe zimeizidi rank kitu ambacho ni impossible maana 6 tayari hazimo.
Raja
Zamalek
JS Kabylie
Horoya
USM Alger
Orlando Pitates
Duh! Hadi Zamalek hayuko?...
 
Back
Top Bottom