makwegaFMM
Member
- May 25, 2020
- 35
- 56
Yanga haiwezi kua kwenye pot 4. Itakua 3.Hapo utopolo anawatamani jwaneng Galax na medeama ila waambieni hatokutana nao kundi moja kwasababu atakua nao pot namba 4 au unaweza ita pot la vibonde.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Yanga ipo nafasi ya 18 kwa ranks za CAF.(CAF 5 Years Ranking)
Ili awe pot 4 ni lazima timu 12 kati ya 15 zitakazoingia makundi pamoja nae ziwe zimeizidi rank kitu ambacho ni impossible maana 6 tayari hazimo.
Raja
Zamalek
JS Kabylie
Horoya
USM Alger
Orlando Pitates