Yohana M Magembe
Member
- Nov 5, 2021
- 40
- 24
Katika kuzingatia màhitaji ya wakati huu kisiasa, watu wengi wamejiweka katika nafasi za kisiasa na kila mmoja akijiona mbobezi wa mambo ya siasa na mchambuzi mahili, hapa yamejitokeza makundi kadhaa kwenye Jamii zetu ambayo.
1) Wasomi na wahitimu wa vyuo vikuu bila kujali amesomea nini wenye ajira na wasio na ajira.
2) Wajasiliamali na wafanya Biashara mbalimbali. Hawa ni wanasiasa wakosoaji.
3) Wazee na vijana wa vijiwe vya kahawa, bodaboda n.k. Hawa ni wachambuzi na watabiri wa mambo yote yahusuyo wanasiasa na siasa kwa ujumla katika Taifa letu.
4) Wanasiasa na viongozi wetu katika ngazi zote za kiutendaji.
Swali langu: Je, lipi katika makundi haya Manne ni wababaishaji wa kisiasa katika Jamii na Taifa letu kiujumla?