KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
1961, Tanganyika ilikuwa na idadi ya raia milioni 9 tu.Ndani ya miaka 60 tayari raia ni 60 milioni pia.Ajabu mpaka leo ardhi ya Tz imejaa mapori badala ya mashamba ya kilimo,mifugo n.k.Yaani raia karibu nusu ya idadi wapowapo tu kupiga kelele badala ya kulisaidia taifa.Miaka 60 ya uhuru unaongelea mashimo ya vyoo wakati waliopata uhuru nyuma yetu na hawana rasilimali kama zetu wameshatoka kwenye mashimo ya vyoo wanaongelea teknolojia ya juu ikiwepo kutengeneza simuna kurusha satelite angani
Ngazi ya watawala ni sehemu ndogo sana ya raia 60 milioni!Ni ujinga kufikiri viongozi wachache hawa,ndiyo wenye dhamana ya kuliletea taifa maendeleo bila ya sisi wenyewe kushiriki kwa nguvu na maarifa yetu.