Hujui kwamba tangu watoke hao uliowataja kimedodoke pua vya kutosha? Sasa ni kifo cha mende!!Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti cdm itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au cdm hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaidaa tuu
Waitara na wenzie mliowanunua mwaka Jana hawajawapa hizo Siri?Kundi la wabunge 19 wa Chadema wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika...
Unasubili had press ndo ujue wanaongea? Haa !!! Angalia mapito ya chama hicho utakuwa umengudua kama wanaongeaDr Slaa alimwaga siri kwani? usicheze na taasisi yoyote. Mwanasiasa yoyote alielelewa ndani ya Chadema anajua kesho au kesho kutwa anaweza kurudi kundini hivyo hana namna ya kuchunga kauli yake...
hakuna kitu hapoKundi la wabunge 19 wa Chadema wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Frank, kiuhalisia upinzani/itikadi upó ktk nafsi ya mtu... Nauhakika vyama Ving vinavyoongoza SERIKALI hasa Africa ; bila nguvu ya polisi, tume za uchaguzi ni weupe mnooHujuwi kwamba tangu watoke hao uliowataja kimedodoke pua vya kutosha? Sasa ni kifo cha mende!!
MATAGA bana!Kundi la wabunge 19 wa Chadema wana siri nzito mno wakizibwaga Chadema inasambaratika
Hilo kundi lilikuwa ndio injini ya CHADEMA wanaijua ndani nje na wanawajua viongozi wote ndani nje si kisiasa tu bali na kimahusiano ya kibinafsi
Kamati kuu iwaombe msamaha kwa kuwadhalilisha mbele ya jamii ndani ya masaa 48 kwa hicho kinachoitwa kikao cha kamati kuu ambacho hata quorum haikutimia kilichotoa tamko koko la kuwafukuza uanachama na uongozi
Haswaa.. ccm yenyewe ishajifia kitambo, inapumua tu kwa msaada wa polisi na NEC. Kukiwa na mabadiliko ya Katiba tu, ccm kwisha habari yakeWanajua baada ya Magufuli kutoka Ccm maisha yatakua magumu sana lazima wachunge midomo yao.
Sasa wewe huoni kilichotokea kweye uchaguzi wa mwaka huu?Zitto, Dr Slaa, Lowassa, Dr Mashinji etc... Walisema hivyohivyo etii wakiondoka hao siri na blablaa kibao eti cdm itakufa! Brother, itikadi ya chama chochote Cha siasa iwe CCM au cdm hujengwa ktk Mioyo ya wanachama wa kawaidaa tuu