Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.

Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo kimojawapo cha TABIA ZA KISHAMBA ZA WATU WA ARUSHA.

Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuvutiwa na UJINGA wa hivi.

Pia nikiwaangalia hawa vijana wa hovyoo inasababisha NIMTAFAKARI LEMA NA SABAYA huenda background yao ni kama hii maana nao wanapenda mafujofujo na ubabe
 
Ni wewe unawaona hivyo ila wale jamaa haimaanishi arusha yote iko hivyo. Ni kundi dogo sana.
Pili wakazi au wenyeji hawana shida nao. Wewe unaona ni washamba, wenye jiji lao hawana shida nao kabisa. Agree to disagree kila sehem iko tofauti
Unasemaje wenyeji hawana shida nao wakati ujio wa Makonda alipewa angalizo kuwa Arusha kuna wadudu?

Na kwa kufanikiwa kwake kuwamudu tayari imekuwa kipimo cha kukubalika kwake!
 
Hizo ni akili zako binafsi maan hata wewe unae waona wao ni washamba na sisi tunakuona mshamba tena c kidgo huez chukulia kikundi kama sample ya mkoa wetu wote jarbu kutembea ujue ili uache kuropoka wew wakuja tu
#hatufagilii ushamba sisi
#geneva of Africa
 
Iweje hawa waandaliwe na Makonda aliyevamia Clouds kisha wewe uwalaumu Lema na Sabaya! Huku makamu wa rais aliwapigia makofi walipokuwa jukwaani! Hebu weka sawa hili.
 
Hata kabla ya hao WADUDU nimeona tabia na maisha ya watu wa Arusha muda mrefu tu NI WASHAMBA SANA. Huu ujiuo wa WADUDU ni muendelezo tu wa USHAMBA. Pia suala la kupenga makamasi hadharani na kutema makohozi mbele ya wenzako ni jambo la kawaida sana Arusha inatia kinyaa sana
 
Kwahiyo bora panya road?
 
Wangemshangilia baba ndubwi na domokaya mngesema ni wajanja

Fala Kweli wewe
 
Ni makurdi kama PANYA ROAD, WATOTO WA MBWA, nk, kuwapamba sana n kuwa boblise itafikia hatua kill mkoa utaanzisha vikundi yao, na mwisho wa siku wataingia poring na kundi kubwa. Haha makurdi ya kigaidi yalianzia kama having hivi, intarahamwe walianzia having having na kuleta mauaji ya kutisha. MAUMAU Kenya walianza having having, haha makurdi so ya kuyafurahia na kuyatukuza, utawamanage wachache wengine watakua mtaani kwa jina hilohilo.
 
Sio ushamba ile ni style yao wamehuni ya kiutofauti na swaga zingi e yaani hiyo swaga hawajaiga sehemu wamebuni kama comedy fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…