Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nilidhani kuwa wadudu si jina tu la kundi fulani, bali pia ni falsafa ambayo Mkuu wa Mkoa ameitumia na kufanikiwa kuwabadilisha vijana waliokuwa ni wahalifu mtaani, na kuwafanaya kuwa raia wema wenye mwelelekeo wa kufanya kitu cha maana kwa ajili ya taifa lao. Sasa, huu ushamba unatioka wapi tena? Wewe ulipernda hawa vijana waendelee kuwa wahalifu mtaani?Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.
Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo kimojawapo cha TABIA ZA KISHAMBA ZA WATU WA ARUSHA.
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuvutiwa na UJINGA wa hivi.
Pia nikiwaangalia hawa vijana wa hovyoo inasababisha NIMTAFAKARI LEMA NA SABAYA huenda background yao ni kama hii maana nao wanapenda mafujofujo na ubabe
Umeongea kwa sababu iko kwako Ila isingekuwa kwako usingeweza kutumia iyo iyo nature kutetea mahala pengine. Sema hapo ni self service ya brainNi wewe unawaona hivyo ila wale jamaa haimaanishi arusha yote iko hivyo. Ni kundi dogo sana. Pili wakazi au wenyeji hawana shida nao. Wewe unaona ni washamba, wenye jiji lao hawana shida nao kabisa. Agree to disagree kila sehem iko tofauti
Waachiwe Arusha kule Yao rudi kwenu Kilimanjaro kinachokuweka Arusha Nini?Hata kabla ya hao WADUDU nimeona tabia na maisha ya watu wa Arusha muda mrefu tu NI WASHAMBA SANA. Huu ujiuo wa WADUDU ni muendelezo tu wa USHAMBA. Pia suala la kupenga makamasi hadharani na kutema makohozi mbele ya wenzako ni jambo la kawaida sana Arusha inatia kinyaa sana
Wala sikupingi mkuu ... yani kwa bahati mbaya sana kitendo cha makonda ku entertain ndio nimezid kuona kua anacheza na akili za watu...hata kama ni creativity sio kwa upuuzi uleArusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.
Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo kimojawapo cha TABIA ZA KISHAMBA ZA WATU WA ARUSHA.
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuvutiwa na UJINGA wa hivi.
Pia nikiwaangalia hawa vijana wa hovyoo inasababisha NIMTAFAKARI LEMA NA SABAYA huenda background yao ni kama hii maana nao wanapenda mafujofujo na ubabe
Sio iko kwangu, i know them bro. Plus nimeishi mkoa usika for years , am speaking from experience yangu not random factsHii
Umeongea kwa sababu iko kwako Ila isingekuwa kwako usingeweza kutumia iyo iyo nature kutetea mahala pengine. Sema hapo ni self service ya brain
Tembea mkuu ili ujaribu kujifunza pengine umeanza kuzeeka, alaf pia cyo kwa ubaya nitakua mwenyeji wako cyo kwamba natetea lengo ni kukufundisha ufundishe wanaoongea pasi na kuwa na uhakika wa jambo ilhali maisha ya ckuizi kila mtu anataka kuwa content creator kwahyo kuwa na uhakika ndo uongee isingekua kitovu cha utalii alaf cyo kila anae kuja anakuja kushangaa wanyama watu wanasoma culture mzee. Samahani kama kuna jina baya limetumika apo juu ila usipost kufurahisha elewa kuna vitu unapunguzia taifa letu mkuuHata kabla ya hao WADUDU nimeona tabia na maisha ya watu wa Arusha muda mrefu tu NI WASHAMBA SANA. Huu ujiuo wa WADUDU ni muendelezo tu wa USHAMBA. Pia suala la kupenga makamasi hadharani na kutema makohozi mbele ya wenzako ni jambo la kawaida sana Arusha inatia kinyaa sana
Nahic bado mnaitaji ukomavuu san this is maasai land ipo kitraditional wazungu wanadata na traditional mkuu treatment na vitu vyote hakimbiliwagi mtuArusha wamejaa mapimbi tu pigo za kiboya sana ndio wanahisi wajanja.kazi kuvuta bangi na kukimbilia wazungu
🤣🤣 Umezeeka anza afya ya akili eti experience mkuu ulikua unakaa maeneo gan ukute ulikua longido au mererani huko unajisifu umekaa arusha na unaexperience etiSio iko kwangu, i know them bro. Plus nimeishi mkoa usika for years , am speaking from experience yangu not random facts
😂 Cjui n kwanin mnaona hivyo ilhali mngejua kilichopo mngetulia maan hyo n content creation kama nyingne hapa town hatuna mda nao wala i hope mnaona clip zao kuna mtu anakuag busy kuwazingatia?Wala sikupingi mkuu ... yani kwa bahati mbaya sana kitendo cha makonda ku entertain ndio nimezid kuona kua anacheza na akili za watu...hata kama ni creativity sio kwa upuuzi ule
Naomba uandike kwa herufi kubwa waelewe mkuu maan sijui huo ushamba anaosema wa mkoa kautoa wapiMtakua wageni wa Arusha, unaweza kukaa hata miaka 10 Arusha bila kuwaona hao wadudu, ni kundi dogo sana la wapumbavu ambao wanapewa hype na trending na wapumbavu wenzao
Kuna watu wakiona hivo wanajua Arusha watu ndo wako hivo
Umesahau matejoo na chekaung'atwe na wazungu wakija wanaroll n wahuni ili waweze kuelewa culture maan c kitu ya leo au jana hyooIla pia Arusha mitaa wanaopatikana hao wanaojiita wadudu ni maeneo katili sana kwa vijana laini laini. Ukiwa mitaa kama kinondoni ukamchukua kijana mmojawapo kati ya wale wanaong'aa lips kwa kuzilamba ukamshusha mitaa ya ngarenaro na sendoz zake na soksi na bukta ataishi kwa tabu mno.
Tatizo wanafanya kama nembo ya Arusha .Mtakua wageni wa Arusha, unaweza kukaa hata miaka 10 Arusha bila kuwaona hao wadudu, ni kundi dogo sana la wapumbavu ambao wanapewa hype na trending na wapumbavu wenzao
Kuna watu wakiona hivo wanajua Arusha watu ndo wako hivo
Sasa mtu anavaa kiatu kikubwaaaa kupitilizaa na mkofiaaa miwaniiArusha na kutotaka kubadilika ndio chanzo cha kuvaa mitumba yaani mji wanavaa nguo kama mshati ya draft unaweza kusema ni uniform, nilienda 2002 nikaenda tena 2013 nguo zile zile wanazovaa miaka buku yale mashati kama mgambo yanafanana na sare za chadema.
Yaani kama kuwa wachafu kuvaa ovyo ni utoto . Watu wakubwa wenye pesa zao huwezi kuwakuta wanaunga mkono hao jamaa wa hovyo , hao wadudu wengi familia zao ni duni ila wanacahfua taswaira nzima ya mji.
Arusha unaweza kumuona mtu ana miaka 40 ila bado anafuata mandi yenye mambo ya kitoto kama wadudu.
Karibu karne hii mkuu usichoshe ubongo na kumbukumbu za kipindi unakua pengine mjombaaArusha na kutotaka kubadilika ndio chanzo cha kuvaa mitumba yaani mji wanavaa nguo kama mshati ya draft unaweza kusema ni uniform, nilienda 2002 nikaenda tena 2013 nguo zile zile wanazovaa miaka buku yale mashati kama mgambo yanafanana na sare za chadema.
Yaani kama kuwa wachafu kuvaa ovyo ni utoto . Watu wakubwa wenye pesa zao huwezi kuwakuta wanaunga mkono hao jamaa wa hovyo , hao wadudu wengi familia zao ni duni ila wanacahfua taswaira nzima ya mji.
Arusha unaweza kumuona mtu ana miaka 40 ila bado anafuata makundi yenye mambo ya kitoto kama wadudu.