Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.

Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo kimojawapo cha TABIA ZA KISHAMBA ZA WATU WA ARUSHA.

Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuvutiwa na UJINGA wa hivi.

Pia nikiwaangalia hawa vijana wa hovyoo inasababisha NIMTAFAKARI LEMA NA SABAYA huenda background yao ni kama hii maana nao wanapenda mafujofujo na ubabe
Wewe exposure uliyoipata imekusaidia nini?
Utateseka sana na Maisha ya watu
 
Mtoa hoja upo sahihi
Watu wa arusha wanatabia fulani sio nzuri ni zaajabu ajabu.
Mbona mnawashwa washwa na life style za watu
Watu wanaishi maisha yao,wengine mnakasirika 😄😄😄
 
Ila pia Arusha mitaa wanaopatikana hao wanaojiita wadudu ni maeneo katili sana kwa vijana laini laini. Ukiwa mitaa kama kinondoni ukamchukua kijana mmojawapo kati ya wale wanaong'aa lips kwa kuzilamba ukamshusha mitaa ya ngarenaro na sendoz zake na soksi na bukta ataishi kwa tabu mno.
Maeneo hayana shida ila baadhi ya wakazi wa hapo Wana tabia za kihuni, kihalifu n.k
 
Na subscribe your observations Mkuu Muite niliwahi kumwambia jamaa fulani mahali kuwa Arusha tumebarikiwa watu wajinga na washamba sana akaona nasaliti kambi. Ila ukweli ndio huo tuna uhuni wakishamba sana huu mkoa.
 
Upo sawa kabisa, Arusha wengi ni washamba sana. Ukikutana na wajanja wa kule ndo utachoka maana unaona kabisa clearly hawa watu hawana exposure na ni washamba sana.
Exposure yako imekusaidia nini wewe?
Exposure uliyonayo ina faida gani kwenye nchi hii
 
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.

Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo kimojawapo cha TABIA ZA KISHAMBA ZA WATU WA ARUSHA.

Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuvutiwa na UJINGA wa hivi.

Pia nikiwaangalia hawa vijana wa hovyoo inasababisha NIMTAFAKARI LEMA NA SABAYA huenda background yao ni kama hii maana nao wanapenda mafujofujo na ubabe
Ili uwe mshamba unatakiwa uwe na nini?
Na ili uwe mjanja unatakiwa uwe na nini
 
Wadudu ndio Panya road wa Dar ila Wadudu sio wezi na vibaka, sasa hapo chagua WADUDU au Panya road?
 
Arusha wamejaa mapimbi tu pigo za kiboya sana ndio wanahisi wajanja.kazi kuvuta bangi na kukimbilia wazungu
Kiukweli Arusha wasaidiwe. Watu tumetoka huko kitambo sana. Tunafaa nadhifu pamba safi, kiatu safi kama tupo TRA au NMB. Wao sasa eti kuvaa dodgy doggy kubwa na mtepesho ndio ujanja aaaaghhhhhhh
 
Ni makurdi kama PANYA ROAD, WATOTO WA MBWA, nk, kuwapamba sana n kuwa boblise itafikia hatua kill mkoa utaanzisha vikundi yao, na mwisho wa siku wataingia poring na kundi kubwa. Haha makurdi ya kigaidi yalianzia kama having hivi, intarahamwe walianzia having having na kuleta mauaji ya kutisha. MAUMAU Kenya walianza having having, haha makurdi so ya kuyafurahia na kuyatukuza, utawamanage wachache wengine watakua mtaani kwa jina hilohilo.
Wewe umetumia ubongo wako sawasawa, na mimi nimefikiri hivyo hivyo,kwanza kwa taarifa niliyonayo ni kuwa wale waliokuwa pale may day siyo wadudu halisi, kwanza wale original huwa ni public enemies, yaani huwezi kuwaita uwanja wa stadium mbele ya makamera na wakaja, wadudu og hata barabara wanazopita huwa ni zile za (chocho kwa chocho) kingine, wale OG huwa pigo zao za mavazi ni kama zile za wale wa maonyesho ila wao huwa wako real!! Umenielewa? Yaani huwa hawaigizi kuvaa ile minguo na miviatu mikubwa,ila ni wameshaziona hizo style kama ndiyo mavazi sahihi kabisa kwao, wadudu og wanapatikana unga ltd(vichochoroni)mitaa ya Esso,daraja 2,na kule Long dong, wale wa juzi ni watoto wa makada wa ccm, wanaishi ngarenaro darajani pale karibu na banda umiza,pale kazi kuu ya akinamama,waume zao, na watoto wao huwa ni hiyo ya kuzunguka na mikutano ya ccm, karibu kila siku utakuta basi linaenda kuwasomba na kuwapeleka sehemu mbalimbali kwenye shughuli za chama, hata dogo janja kwao ni hapo hapo,na mbanga zake zilikuwa ni hizohizo kabla hajajiongeza na kuimba imba,karibu Arusha.
 
Sasa mtu anavaa kiatu kikubwaaaa kupitilizaa na mkofiaaa miwanii
Alafu yeye ni kuzurula tu
Kichwani yuko sawa kweli

Ova
Nimecheka kinoma,nimetengeneza picha ya huyo mtu kichwani kwangu nikajikuta nacheka kama mwehu,mtu mwenye likofia likubwa,maviatu makubwa,miwani kubwa,halafu anazurura tu kila mahali bila mwelekeo.
 
Na subscribe your observations Mkuu Muite niliwahi kumwambia jamaa fulani mahali kuwa Arusha tumebarikiwa watu wajinga na washamba sana akaona nasaliti kambi. Ila ukweli ndio huo tuna uhuni wakishamba sana huu mkoa.
Mimi nimeongea hadi mate yamekauka, sikutegemea kama makonda angekuja kuwapa hype watoto wajinga wale, ona sasa watu wa Arusha tunatukanwa na wajinga wengine kwa ajili ya hao wajinga.
 
Mimi nimeongea hadi mate yamekauka, sikutegemea kama makonda angekuja kuwapa hype watoto wajinga wale, ona sasa watu wa Arusha tunatukanwa na wajinga wengine kwa ajili ya hao wajinga.
Mikoa tofauti lazima mambo na desturi tofauti,hao wanaotukana wao wana exposure gani?na ujanja wao umeleta faida gani kwa nchi

Yaani mtu kajifungua Tandale,bonyokwa huko anaona wenzie washamba 😄😄😄
 
Back
Top Bottom