Kundi la Wadudu Arusha ni kielelezo cha ushamba

Mikoa tofauti lazima mambo na desturi tofauti,hao wanaotukana wao wana exposure gani?na ujanja wao umeleta faida gani kwa nchi

Yaani mtu kajifungua Tandale,bonyokwa huko anaona wenzie washamba 😄😄😄
Kwaiyo kundi la wadudu ndo wenye exposure kwa huko chuga?
 
Eleza exposure ni kua na nini?

wa Tz mkishaishi Dar,Tabata,kinondoni huko mmebanana mnajiona mpo mbele sana,au kua na exposure ni kugombania daladala,kuingilia dirishani 😀 😇

Watu wanaishi lifestyle zao,eti wewe unakasirika 🙆

Subiri kimbunga hidaya kikupitie huko 😄😀
 
Mimi nimeongea hadi mate yamekauka, sikutegemea kama makonda angekuja kuwapa hype watoto wajinga wale, ona sasa watu wa Arusha tunatukanwa na wajinga wengine kwa ajili ya hao wajinga.
Ulimbukeni ni mwingi sana kwa wengi hapa Arusha.
 
Mimi nimeongea hadi mate yamekauka, sikutegemea kama makonda angekuja kuwapa hype watoto wajinga wale, ona sasa watu wa Arusha tunatukanwa na wajinga wengine kwa ajili ya hao wajinga.
Makonda kafanikiwa kuionyesha dunia sura na tabia halisi za vijana wa Arusha.

Nimemuelewa sana Makonda
 
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.

Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo kimojawapo cha TABIA ZA KISHAMBA ZA WATU WA ARUSHA.

Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuvutiwa na UJINGA wa hivi.

Pia nikiwaangalia hawa vijana wa hovyoo inasababisha NIMTAFAKARI LEMA NA SABAYA huenda background yao ni kama hii maana nao wanapenda mafujofujo na ubabe
Panya road...
 
Ha ha ha!
Kuna vijana Arusha bangi zimewaathiri vibaya.
 
Imenisaidia nikae kwenye vikao vya kuamua mambo ya msingi ya hili taifa ambayo wapumbavu kama wewe hauwezi hata kujua kama vinafanyika.
😝😝😝Jf kila mtu mkubwa,wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine

Huna lolote
 
Ni wewe unawaona hivyo ila wale jamaa haimaanishi arusha yote iko hivyo. Ni kundi dogo sana. Pili wakazi au wenyeji hawana shida nao. Wewe unaona ni washamba, wenye jiji lao hawana shida nao kabisa. Agree to disagree kila sehem iko tofauti
Mshamba hawezi kumshangaa mshamba mwenzie
 
Arusha imebarikiwa sana katika maliasili, mazingira na hali ya hewa. Bahati mbaya INA WATU WASHAMBA SANA.

Nimewaona hata hawa vijana wanaojiita wadudu nikajisemea tu kuwa hiki ni kielelezo kimojawapo cha TABIA ZA KISHAMBA ZA WATU WA ARUSHA.

Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuvutiwa na UJINGA wa hivi.

Pia nikiwaangalia hawa vijana wa hovyoo inasababisha NIMTAFAKARI LEMA NA SABAYA huenda background yao ni kama hii maana nao wanapenda mafujofujo na ubabe
Wadudu once again!
 
Wadudu tunaowajua ni wale waliokuwa wanazika kwa kutumia mikono bila chepe.. Hao wengine ni wa CCM
 
Na tarakea kuna WAFALME sema wametofutiana sana na wadudu maana wafalme wote wana kazi zao
 
Back
Top Bottom