HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Inabidi tufike wakati tukubali kuwa si kila mara utashinda, kuna wakati unapigika haswa.
Wagner walifanya vizuri sana maana wanajeshi wake wengi walikuwa wako tayari kufa, sababu ya pesa.
Serikali ya Urusi iliwapa kila kitu walichotaka, tatizo lilianza Bakhmut baada ya Wagner kusema wao ndio wameiteka Soledar, MoD ikasema wao ndo wahusika.
Wagner hawampendi Shoigu, hivyo anawabania wafe ili Jeshi kubwa lianze kutumika.