Kundi la wake za watu (wanawake) linaloongoza kutoka nje ya ndoa (kufanya ngono)

Wale wanaume wanao kwenda kufanya kazi SUDAN wako katika kundi gani?
 
aisee haka ka utafiti kama vile kana ukweli ndani yake maana mimi nshababua wake za watu watatu na sababu ni hizo hizo alizozieleza mtoa uzi.
 
Umefunika mkuu simplicity leo ulituliza kichwa,Ngoja waliozoea ku cheat na kukataa hadi kwenye mitandao uone watakavyobisha hadi watoe mapovu
 
Ufosaro na Mushi wako kundi gani vile?Love with benefit?
 
aisee haka ka utafiti kama vile kana ukweli ndani yake maana mimi nshababua wake za watu watatu na sababu ni hizo hizo alizozieleza mtoa uzi.

mmh! Kweli we bandu bandu! Ila ungebadili hyo id ikawa 'bandua bandua' ungefunika mkuu! Khaaa!!!
 
umeongelea sana wake za hao watu (wafanyakazi TRA, banks, maboss serikalini, MPs, mawaziri etc.), je wale wanawake ambao wenyewe ni maboss/ wafanyakazi kwenye hizo sectors, wabunge, mawaziri, banks managers, na wana waume zao nyumbani wao wapo kundi gani? wenyewe hawa-cheat?
 
kucheat ni tabia tu ya mtu kuna watu wanafanya kazi na watu wao ofisi moja na bado wanacheat humo humo.
 
The law of diminishing marginal utility! Umenikumbusha economics enzi hizooo lara 1
 
Last edited by a moderator:
Umemaliza wanawake wote.....naona hakuna kundi uliloliacha.
 
Simplicity fine you've said what you wanted to say. but i still have one question to ask does it mean only women are the victims?

je wanawake ahawa wanacheat na waume za watu ama wenyewe kwa wenyewe??
to me its a two way traffic, halafu point #10 sio kweli kabisa, siku zote hao vigogo ulowa mention wakitaka liwazo huwa hawatoki na wake za watu hasa safari za mbali na za muda mrefu.

Nionavyo mimi kwa sababu ya kukwepa majukumu yao hutoka zaid na mabinti ambao hawana vifungo.
 
Last edited by a moderator:
bora ya wewe uliyetusaidia hapa maana mm sijaelewa kabisa

 
 
wengi wao,wanawake kama hao wana kiherehere!!
 
Hiyo no 3 lara 1 jana nilikuwa nimekaa najiuliza ivi inawezekana?kumbe manake huwa najiuliza mtu mwenye mke au mume ampendae kwa dhati awezaje sema anampenda third party.me mume wangu Dr Simplicity nimwache?

Kama ni medical doctor hakuna tatizo, hao huwa hawana wivu, hata akufumanie hakuachi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…