tuoe nani sasa?? Walimu ambao wanapata muda mref wa kukaa nyumban wakat mi nko kazini hadi saa 4 usiku?? Mwalimu ambae nae atataka mwalimu mkuu asimpangie "duty" kwa miezi 5? Mwalimu ambae nae ataenda kwa afisa elimu ili asihamishwe kituo?
Wale wanaume wanao kwenda kufanya kazi SUDAN wako katika kundi gani?
ladyfurahiaUmefunika mkuu simplicity leo ulituliza kichwa,Ngoja waliozoea ku cheat na kukataa hadi kwenye mitandao uone watakavyobisha hadi watoe mapovu
umeongelea sana wake za hao watu (wafanyakazi TRA, banks, maboss serikalini, MPs, mawaziri etc.), je wale wanawake ambao wenyewe ni maboss/ wafanyakazi kwenye hizo sectors, wabunge, mawaziri, banks managers, na wana waume zao nyumbani wao wapo kundi gani? wenyewe hawa-cheat?
kucheat ni tabia tu ya mtu kuna watu wanafanya kazi na watu wao ofisi moja na bado wanacheat humo humo.
Umemaliza wanawake wote.....naona hakuna kundi uliloliacha.
Akhuuuuuu.... Mie hata moja hainihusu wala haimuhusu my hezbend.......
:yawn: :yawn:
Simplicity fine you've said what you wanted to say. but i still have one question to ask does it mean only women are the victims?
je wanawake ahawa wanacheat na waume za watu ama wenyewe kwa wenyewe??
to me its a two way traffic, halafu point #10 sio kweli kabisa, siku zote hao vigogo ulowa mention wakitaka liwazo huwa hawatoki na wake za watu hasa safari za mbali na za muda mrefu.
Nionavyo mimi kwa sababu ya kukwepa majukumu yao hutoka zaid na mabinti ambao hawana vifungo.
Ngoja aje kufanya substintiation maana anayajua vizuri hayo makundi.
Hao mara nyingi ni kama wanawamiliki wanaume zao. Yaani wana wanaume wa kuungaunga sana, walio wengi huwa hata hawaweki wazi kama wameolewa, wee unaona tu anazaa vitoto. Ila wapo wachache sana ndoa zao ni mfano wa kuigwa, sijui labda Mama Salma naye yumo!
aisee haka ka utafiti kama vile kana ukweli ndani yake maana mimi nshababua wake za watu watatu na sababu ni hizo hizo alizozieleza mtoa uzi.
Umemaliza wanawake wote.....naona hakuna kundi uliloliacha.
wengi wao,wanawake kama hao wana kiherehere!!
kumbe sio wameponea kabisaWalimu, haiba, kazi na mafunzo yao yanawafanya kidogo wawe na hofu. Kuna unafuu mkubwa!
I hope the word is "substantiation"