Tetesi: Kundi la wana CCM lajipanga rasmi kuhamia Upinzani

Tetesi: Kundi la wana CCM lajipanga rasmi kuhamia Upinzani

Disclaimer: Hizi ni Tetesi

Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa.

Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM.

Wana CCM wanaopanga kuhamia upinzani wengi wanahamia huko kusaka nafasi za kugombea hasa ubunge ,lakini most interesting ni kuwa Kuna potential presidential candidate, sijui kama Lissu atapenda ujio wa Kigogo huyo
Haitakubalika. Lembeli hapana! mamluki hapana
 
Bila kujali ulilosema kama kama ni kweli ama la, CDM wawapokee hao wanaccm, lakini nafasi ya kugombea kwa sasa hapana. 90%+ ya walioenda kuunga juhudi kipindi cha dhalimu, ni wanaccm waliokuja CDM wakati wa ujio wa tapeli la kisiasa Lowassa.

Kama kweli CDM hawatajifunza kosa lile na kuwapokea hao wanaccm kisha kuwapa nafasi za kugombea, nitawapuuza moja kwa moja. Hao wanaccm wakitaka waende vyama vingine vya upinzani wapewe hicho watakacho, au waanzishe chama chao waingie kwenye ushindani, iwapo wanadhani wanaaminika na wananchi.
 
Lembeli ni muhuni fulani muvuta bangi pale kahama hana jipya kabisa. Sema mbunge aliyepo Ushetu baada ya kufariki Kwandikwa yaani ndiyo ovyo halina akili darasa la saba lijinga kabisa na tapeli halifai kabisa. Lembeli aendeleze mizimu tu hana jipya keshachoka. CCM 2025 inatafuta mbunge mwingine siyo huyu hohehahe aliyepo wala siyo lembeli lazima awe kijana msomi.
Chelehani sio PhD holder?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waende tu...

Tutabaki na CCM yetu....

Alikwenda mwamba Laigwanan El Commandante ENL na akarejea pale ofisi ndogo ya Lumumba kwa kuongea sentensi 3 tu nazo ni hizi hapa chini:-

1) Assalaam aleykum

2)Tumsifu Yesu Kristo

3NIMEREJEA NYUMBANI MSINIULIZE KWANINI[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreCCM[emoji120]
 
Najaribu kufikiria. Chadema wakichukua nchi. Waanze kujilipa maumivu waliyoyapata tangu enzi za Mtei. Kila mtu atadai maumivu yake ili alipwe. Nikifikira hivyo. Heri ccm waendelee na wizi wao mnaousema.
Infact: Hako ka Mchezo ka kwamba nilikikopesha Chama najirudishia ndivyo ilivyo na Ndiyo Source ya Mwenyewe kutotaka nafasi yake Iguswe.
Nina Madini ambayo Tundu Lissu kwa kutumia Id yake Fk atalisapoti kwa kusema kiukweli umezungumza ukweli.😄😄😄😄.
NB: Tukichukua nchi Bei ya Bapa na Serengeti Light itashuka bei
 
Tuulinde udugu wetu ,kitendo Cha lembeli na Lisu kukutana na kujadiliana haimanishi hayo usemayo

Punguza woga ,ccm mbele Kwa mbele
 
Natamani kitokee chama kingine mbadala,
Chadema nao hawaaminiki kwa wananchi tulio wengi tangu walipopiga gia ya angani 2015.
 
Pale katibu mkuu mnyika kapwaya sana.
Arejeshwe Dr Slaa km katibu.
Mbowe abaki mwenyekiti.
Kuhusu mgombea urais Lissu nnamashaka nae ila km tukikosa itabidi twende nae hivyo hivyo.
Ccm watatema bungo asubuh mapema saana
 
Leo wako wapi? CDM ni imani na kila siku imani hukua! Samia mbele ya uchaguzi huru na haki hata asimamishwe na nyoka amini nyoka atashinda kabla ya saa mbili asubuhi.
Hata asimamishwe na kitumbua kitumbua kitashinda asubuhi na mapema😂😂😂
 
Najaribu kufikiria. Chadema wakichukua nchi. Waanze kujilipa maumivu waliyoyapata tangu enzi za Mtei. Kila mtu atadai maumivu yake ili alipwe. Nikifikira hivyo. Heri ccm waendelee na wizi wao mnaousema.
Bora tukalipa hayo mafao kuliko ya DPW, itafika wakati hao unawahisi watakufa na ndio utakuwa mwisho wa hayo mafao lkn dpw vp, ile misitu yetu vp, mbuga za wanyama nk
 
Disclaimer: Hizi ni Tetesi

Kuna kundi la wana CCM wameshaanza kufanya mazungumzo na viongozi wa Upinzani ili kuhamia upinzani kabla ya uchaguzi wa serikali za Mitaa.

Baadhi ya wana CCM hao ni James Lembeli ambaye amewahi kuhamia CHADEMA kabla ya kurudi CCM tena kipindi cha JPM.

Wana CCM wanaopanga kuhamia upinzani wengi wanahamia huko kusaka nafasi za kugombea hasa ubunge, lakini most interesting ni kuwa Kuna potential presidential candidate, sijui kama Lissu atapenda ujio wa Kigogo huyo
MA DC na MA DED wa Wilaya wanazotoka Wajiandae kupoteza kazi hilo kundi likihama ccm
 
Leo wako wapi? CDM ni imani na kila siku imani hukua! Samia mbele ya uchaguzi huru na haki hata asimamishwe na nyoka amini nyoka atashinda kabla ya saa mbili asubuhi.
Chadema wanafuraisha sisi CCM tunapiga kura kweli kweli ndio maana ni mtalalamika Kwa kwenda Mbele ,chadema wengi hata vitambulisho vya kupigia kura vimepotea ,walionavyo hawapo majimbo husika,wakati wa marekebisho hawaendi,kiufupi CCM mbele Kwa mbele
 
Back
Top Bottom